Huyo jamaa yako anasoma kweli huko ulaya fanya kumtembelea kwanza kabla ya kuacha kazi halafu utajua cha kufanya.Wakuu nafanyeje,naomba ushauri
Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania,ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.
Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.
Je niache kazi niende kusoma huko nje ?
Au niache kwenda kusoma niendelee na kazi zetu za mshahara laki tano kwa mwezi ?
Anasoma kaka,kapiga diploma kama mbili hivi anasema huko wewe ukiwa unasoma unalipwavtuu,hivyo anabadili kozi kila mwaka ili qpate pesa zilee na anapiga mishe nuingine za vibarua,aananiambia nikienda huko ntasahau hyo kazi nayoringia,ni uhakika anasoma huko ni mtu wangu sanaHuyo jamaa yako anasoma kweli huko ulaya fanya kumtembelea kwanza kabla ya kuacha kazi halafu utajua cha kufanya.
Nilichokuambia ufanye ndo kitathibitisha unachokisema maana huwezi jua labda huyo jamaa yako yuko ulaya ila saivi hana malinda na ndo anachokuitia hicho.Anasoma kaka,kapiga diploma kama mbili hivi anasema huko wewe ukiwa unasoma unalipwavtuu,hivyo anabadili kozi kila mwaka ili qpate pesa zilee na anapiga mishe nuingine za vibarua,aananiambia nikienda huko ntasahau hyo kazi nayoringia,ni uhakika anasoma huko ni mtu wangu sana
Anasoma kaka,kapiga diploma kama mbili hivi anasema huko wewe ukiwa unasoma unalipwavtuu,hivyo anabadili kozi kila mwaka ili qpate pesa zilee na anapiga mishe nuingine za vibarua,aananiambia nikienda huko ntasahau hyo kazi nayoringia,ni uhakika anasoma huko ni mtu wangu sana
Nchi gani hiyo ?Mimi nikajua umepata ufadhili wa kwenda kusoma.Anasoma kaka,kapiga diploma kama mbili hivi anasema huko wewe ukiwa unasoma unalipwavtuu,hivyo anabadili kozi kila mwaka ili qpate pesa zilee na anapiga mishe nuingine za vibarua,aananiambia nikienda huko ntasahau hyo kazi nayoringia,ni uhakika anasoma huko ni mtu wangu sana
Sasa kama mtu nasimamia mjengo wake tokea uwanja mimi ndo nanunua na mpaka nyumba imesimama mimi ndio msimamizi,ananipigaje huyu ?Ukipata likizo kamtbelee kwanza uhakikishe.
Sasa hivi watu unaodhani ni wa karibu yako ni matapeli wakubwa. Hawaoni shida kukupiga nje nje
Omba likizo bila malipo ila hakikisha kabla ya hapo uwe umeshapata chuo vinginevyo atakuchuza.Wakuu nafanyeje, naomba ushauri
Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.
Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.
Je niache kazi niende kusoma huko nje?
Au niache kwenda kusoma niendelee na kazi zetu za mshahara laki tano kwa mwezi?
Naomba nijibiwe swali langu.Omba likizo bila malipo ila hakikisha kabla ya hapo uwe umeshapata chuo vinginevyo atakuchuza.
Ikiwezekana uende ukahakikishe kabla hujaomba chochote kazini
Mkuu unajibu kitu ambacho hakikuhusu.Huyo jamaa yako anasoma kweli huko ulaya fanya kumtembelea kwanza kabla ya kuacha kazi halafu utajua cha kufanya.
Jibu swali linalokihusu kaka.Nilichokuambia ufanye ndo kitathibitisha unachokisema maana huwezi jua labda huyo jamaa yako yuko ulaya ila saivi hana malinda na ndo anachokuitia hicho.
Wewe haya mambo huwa tunasuka mipango na viongozi wetu wa huku chini hayafiki level za juu km halmashauri kwanza, unasuka dili na mkuu wako wa kazi.Mimi ikitokea nimenyimwa nifanyeje ?
Na hili ndio swali langu mkuu
Ndio maana nimesema ukahakikishe kwanza.Sasa kama mtu nasimamia mjengo wake tokea uwanja mimi ndo nanunua na mpaka nyumba imesimama mimi ndio msimamizi,ananipigaje huyu ?