Namshangaa anaposema ni ngumu kupata ruhusa. Labda mwenzetu yuko serikali tofauti na hii ya jamhuri tunayoitumikia wengine.Si uombe ruhusa? Ukirudi unaendelea na kazi. Serikalini huwa hawakatazi mtu kwenda kuongeza elimu.
Poor thinking. Sijui watu kama wewe mmezaliwa na wazazi gani. Kutwa kuongea mambo ya hovyohovyo. Huwezi kuona upuuzi huu kwny social media za wakenya au mataifa mengine.Nilichokuambia ufanye ndo kitathibitisha unachokisema maana huwezi jua labda huyo jamaa yako yuko ulaya ila saivi hana malinda na ndo anachokuitia hicho.
Jamaa yako yupo nchi gani na kakupa process gani zakufuata ili upate hiyo nafasi?Anasoma kaka,kapiga diploma kama mbili hivi anasema huko wewe ukiwa unasoma unalipwavtuu,hivyo anabadili kozi kila mwaka ili qpate pesa zilee na anapiga mishe nuingine za vibarua,aananiambia nikienda huko ntasahau hyo kazi nayoringia,ni uhakika anasoma huko ni mtu wangu sana
Kosa lako ni kuendelea kutumia picha hiyo hiyoSi uombe ruhusa? Ukirudi unaendelea na kazi. Serikalini huwa hawakatazi mtu kwenda kuongeza elimu.
Kwani hayo mambo ya hovyo hayapo?Poor thinking. Sijui watu kama wewe mmezaliwa na wazazi gani. Kutwa kuongea mambo ya hovyohovyo. Huwezi kuona upuuzi huu kwny social media za wakenya au mataifa mengine.
Nchi gani ?Maana kama nchi za maana kama USA au UK unaweza kupiga kazi huku unajisomesha. Na kama ana makaratasi akimaliza kusoma anachapa kazi. Ila kama ni mzungu pori sijui wa Ukraine,Hungary sijui Romania hapo lazima achanganyikiwe.Nimekumbuka dada mmoja,alikuwa bank moja post nzuri tu,akapata bwana mzungu akaamua kwenda kuishi huko na mzungu wake atamsomesha Masters na kumtafutia kazi,akamshauri aandike barua ya kuacha kazi,kweli akaandika akasepa na mzungu wake,ndani ya miaka 2 wakamwagana,hakuna cha kusoma wala nini,anaomba msaada huku bongo wamtumie pesa za matumizi,kurudi huku anaona noma.
Mkuu tatizo wabongo hawatoi msaada ulioomba wanamtoa msaada wanapujua waoNamshangaa anaposema ni ngumu kupata ruhusa. Labda mwenzetu yuko serikali tofauti na hii ya jamhuri tunayoitumikia wengine.
Haya ndo mawazo niliyoyataka kutoka kwa wana Jf,asante sana mkuu.Humu JF utoto mwingi siku hizi sanasana ni kuulizia tigo na ujingaujinga mtupu.
Inategemea unachoenda kusoma Ila kwanza jaribu kuomba ruhusa ukipata nafasi hiyo uone itakuwaje, fanya hata wakupe likizo isiyo na malipo. Then nenda kasome.
Ukikosa ruhusa nenda kasome kama kweli umejiridhisha Kuna shule na unapata hayo malipo maana yatakusaidia kuishi bila shida ina maana ukipiga kazi zako za kubeba box hela unasevu hata ukiamua kurudi unakuwa na kitu Cha kuanzia hata kabiashara fulani mitumba ya mashine ,magari nk.
Kwisha habari yake!! Italia???? Hao hawafai kabisa!!!!!!Mkuu ni serikali ya kule ndio imemfadhili.
Ni italia kaka
Jamaa kajipanga kaka,ana viwanja vingi tu na kasimamisha mjengo wake upo kamili kabisa kila kitu.Huyo jamaa kuna uwekezaji wa maana aliofanya huku nyumbani ? Isije ukaenda ukafuata njia yake, mwanafunzi unalipwa lakini ni hela ya kutosha kukufanya uishi tu huko nje hamna cha maana utafanya, na hivyo vibarua ni mambo yale yale utaendelea kama utafanya kazi ambayo ni profession yako huko nje...Soma huko nje,tafuta kibarua au kazi ukiwa na mpango wa kuwekeza nyumbani vinginevyo utakuwa tu unapoteza muda wako...fainali uzeeni sijui kama uzee ukikuta huko nje utaweza kusurvive
Nimetimiza miaka 27 kaka.una umri gani?
Mke na mtoto mmoja kaka.Una familia inyokutegemea kwa maana ya mke na watoto?
Ni udaktari kaka na ninapenda sana kuwa daktari kaka kwa sababu diploma yangu ni clinical medicine.Unachoenda kusomea unahisi kina mantiki ukimaliza?
Sikuwa na ndoto ya kuishi ulaya,nilikuwa na ndoto ya kwenda ulaya kwa kutembea au ishu maalumu kisha nirudi,sikuwa na ndoto ya kuishi moja kww moja huko kakaUna ndoto ya kuishi ulaya?
Kabisa sasa pesa haitoshi japokuwa naweza kufight kwa mwezi naingiza kama 800K hivi ila bado natamani fursa zaidi kaka.Sio kwa dharau lakini mshahara wa laki5 ni wa kima cha chini sana kukufanya uache kufuatilia ndoto zako, huo mshahara hata muuza genge anaepata faida ya 20k kwa siku au boda anaingiza kipato zaidi
Kwa maana mkuu nisisite kuacha kazi niminyimwa ruhusa,unashauri niruhusiwe ama laa mimi nichomoke tu.Bila kupepesa, ikiwa umejiridhisha, nenda kasome tena kasome kitu cha maana ukimaliza upate kazi huko huko ufanyr vitu vya maana na kuliingizia taifa fedha za kigeni.
Umri unaruhusu ndo kwanza nina 27 kaka.Kama umri wako ni chini ya 35, ni sahihi kuchukua risk hiyo hata ukiachana na kazi ya serikali bado una muda wa kupigania ndoto zako....
Kabisa kaka hlo mimi ndio lengo langu kaka yaani ninahamu nikasome kwa bidii,nisichague kazi,nipige vibarua nitunze pesa nirudi homeTofauti kubwa ya tanzania na majirani, wenzetu wanapeleka sana nguvu kazi nje ya nchi na inawasaidia sana mfano kenya, uganda, nigeria, ghana n.k ifike mahali badala ya vijana kusubiri ajira waende huko magharibi kwenye kazi na fursa fedha wanazopata wawekeze nyumbani.
Amenipa tamaa balaaDuhh,,tangu lini uk wakakusomesha na kukulipa mshahara wewe mbongo, tena co wa kitoto m3!!!!! Au una maanisha LIBYA ya Gaddafi mzehe?
Nimeishi huko sana, huo upuuzi unaosemwa haupo. Ni tabia ya wabongo tu kuropokwa vitu wasivyokuwa na uhakika navyo.
Achana na hao wahuni mkuu. Ulaya ni sehemu nzuri na salama sana kama umeenda kwa malengo na upo kisheria. Nimekaa Uingereza miaka 5. Tena huko sheria zinakulinda sana, hata unyasi haukugusi.Kumbe kupo salama! Kuna mtu aliwahi kunisimulia mambo ya hovyo sana kuhusu Italy nimeishi nikiamini hivyo nahisi nilidanganywa basi!