Nimepata gari ya laki mbili

Nimepata gari ya laki mbili

mutu mrefu

Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
92
Reaction score
23
Nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia linatembea.
 
Kama ullikuwa na mke mmoja tangaza kabisa kuwa umeoa mwingine wa pili.Heri ingekuwa pick up lakini ya kutembelea,mmh
 
Utalitengeneza kwa milioni 15. Nobody will sell a good car even if it is old!!!! Litatembea mpaka nyumbani kwako baada ya hapo shughuli!!!
Nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia linatembea.
 
Hongera sana gari lako hili..... 10325542_674098545977594_7538841468812046199_n[1].jpg
 
Itakuwa ile iliyotelekezwa na majambazi
 
Unatokea wilaya gani? Kama ni Bukoba basi utakuwa unamaanisha Baiskeli manake kule baisikeli huitwa GARI!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom