mutu mrefu
Member
- Dec 28, 2013
- 92
- 23
Nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia linatembea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepata zali ya gari
kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia
linatembea.
Nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia linatembea.
Nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia linatembea.
Hongera sana gari lako hili.....View attachment 167946
Masikhara hayo, Laki 2 hata guta hupati sembuse gari?
nawashangaa mnaoshangaa! mbona ni kawaida sana, hicho kigari we kifanyie detailing uuze milioni tatu. karibu mjini.