Nimepata gari ya laki mbili

mie langu kuna mtu kja na milioni nikamkatalia.
 
atakaye fika bei nampa hili namba za simu zipo kwenye kioo, napatika usiku tu, gari lipo kwenye condition nzuri, single used,
KM 12,400,092 all tires are new yanahitaji upepo tu.

 
Mbona sio ajabu! Kuna memba mmoja kama sikosei ni charger alipata gari la laki 2 na nusu akaja kuomba ushauri hapa JF kwa sababu aliona kama ameshikwa hivi.
Ila lilikuwa halina viti na ye akasema hata vya mbao atachongea tu, pia mlango ulikuwa wa kushikilia muda wote.
 
Last edited by a moderator:
Kama ullikuwa na mke mmoja tangaza kabisa kuwa umeoa mwingine wa pili.Heri ingekuwa pick up lakini ya kutembelea,mmh
Mkuu huyo kaoa zaidi wa wake wawili, maana wakianza kuleta mahitaji yao lazima atakimbia nyumba.
 
Nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia linatembea.
Safi sana.... "at least' na wewe uingie kwenye kumbukumbu ya kuwahi kumiliki usafiri huo....
 
Daaaah kuna baiskeli nimekuta wanauza 400000
 
Nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia linatembea.

Hiyo mkuu ukipeleka pale mtaa wa Lindi utauza na utapata faida kubwa sana! Yaani ukikatakata ukauza kama scrapper ni deal moja kali sana!
 
ama kweli takataka ni malighafi!mtu ananunua takataka kwa laki 2 na anajisifu
 
Injini unataka ya nini? kwani kila gari lazima liwe na injini wewe fika bei kisha hayo mengine tutajadili
Kama unaniuzia banda la kuku sawa, lakini kama ni suala la kutembelea makalio hapo hapana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…