Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyie mnambishia mwezenu hamjamuuliza hilo gari la lakin mbili kwa matumizi gani, mnafikiri kila gari ni lakutembelea tu, magari yana matumizi mengi bwana.
View attachment 167974
nyie mnambishia mwezenu hamjamuuliza hilo gari la lakin mbili kwa matumizi gani, mnafikiri kila gari ni lakutembelea tu, magari yana matumizi mengi bwana.
View attachment 167974
Mkuu huyo kaoa zaidi wa wake wawili, maana wakianza kuleta mahitaji yao lazima atakimbia nyumba.Kama ullikuwa na mke mmoja tangaza kabisa kuwa umeoa mwingine wa pili.Heri ingekuwa pick up lakini ya kutembelea,mmh
Safi sana.... "at least' na wewe uingie kwenye kumbukumbu ya kuwahi kumiliki usafiri huo....Nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia linatembea.
Nikinunua utaniwekea injini?atakaye fika bei nampa hili namba za simu zipo kwenye kioo, napatika usiku tu, gari lipo kwenye condition nzuri, single used,
KM 12,400,092 all tires are new yanahitaji upepo tu.
View attachment 167976
Injini unataka ya nini? kwani kila gari lazima liwe na injini wewe fika bei kisha hayo mengine tutajadiliNikinunua utaniwekea injini?
Nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia linatembea.
nyie mnambishia mwezenu hamjamuuliza hilo gari la lakin mbili kwa matumizi gani, mnafikiri kila gari ni lakutembelea tu, magari yana matumizi mengi bwana.
View attachment 167974
Kama unaniuzia banda la kuku sawa, lakini kama ni suala la kutembelea makalio hapo hapana...Injini unataka ya nini? kwani kila gari lazima liwe na injini wewe fika bei kisha hayo mengine tutajadili
Unatokea wilaya gani? Kama ni Bukoba basi utakuwa unamaanisha Baiskeli manake kule baisikeli huitwa GARI!!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app