Nimepata hasara kubwa sana kutokana na mechi ya Simba dhidi ya Fountain Gate

Niliweka mkeka mkubwa sana kuwa Simba itshinda kwa magoli zaidi ya matano hasa kwa vile nilijuwa usajiri wa fountain gate una walakini. Dah, nimepoteza kila kitu naomba michango yenu kunisaidia angalu kupata ugali wa kesho!~
We dondochaa kweli kweli
 
Member wa JF toka 2006 ila akili za JF za 2025
Kwani unadhani kuwa waandamizi kama sisi hatutaki vitu rahisi rahisi vinapatikana? Acha hayo mawazo mgando wewe., Kwenye mechi ya Yanga dhidi ya Simba nilivuta hela nyingi sana kwa vile niliamni Simba itafungwa tu, ila sikuweka idadi ya magoli. Safari hii nibeti kwa idadi ya magoli na ndipo nilipopoteza.
 
Kwahiyo umeshapa hela ya ugali tayari kupitia huu uzi wako ulioomba usaidiwe?

Halafu kwani mimi nimekukataza kubet? Au hukuielewa comment yangu? Au una maanisha nini kuniambia kua nina mawazo mgando?
 
Nina geleni la maji.

Kwa nini uliunganisha uandamizi wangu na mawazo ya 2025? Ulitaka kudowngrade uandamizi wangu? Mimi bado ni mwandamizi tu ambaye ni dynamic. Uandamizi hauji kwa siku moja tu.
 
Mkuu ukiwa unapata pia shirikisha ulichopata na watu humu sio ukiliwa ndio uombe msaada
 
Niliweka mkeka mkubwa sana kuwa Simba itshinda kwa magoli zaidi ya matano hasa kwa vile nilijuwa usajiri wa fountain gate una walakini

Dah nimepoteza kila kitu naomba michango yenu kunisaidia angalu kupata ugali wa kesho
Huu uplatnum member uliupataje
 
Niliweka mkeka mkubwa sana kuwa Simba itshinda kwa magoli zaidi ya matano hasa kwa vile nilijuwa usajiri wa fountain gate una walakini

Dah nimepoteza kila kitu naomba michango yenu kunisaidia angalu kupata ugali wa kesho
Ajali kazini
 
Back
Top Bottom