nawezaje kumchukia mtu ambae hata sijui kivuli chake?Kabisaaa!!
Watu wanaoana humu
Wengine wanaijaza nchi
Burudani tu
nawezaje kumchukia mtu ambae hata sijui kivuli chake?
Hapana simchukii mtu humu hata chembe...!!!
Nawapenda wote humu...!!
Na hapa sisi changamsha genge
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly..Hakuna hata anaewachukia kujishuku kwao tu!!
Cc: Cc tulikua tunachukulia kawaida siunajua mambo ya penzi jipya???
Ila sasa kero ilianzia mambo ya faragha kuyaandika katikati ya thread za watu.
Wewe ukato.mba.ne huko uje usifiane kwenye thread ustaarabu gani?
thread ya msiba iloveyou kiuno vinafaa nini?!
Lakini kote huko wahenga tuliwapotezea wakizoeana vikojoleo watanyamaza t
u
Sasa juzjuz wahenga walikua wanajadiliana code zikampita akajua ni yeye kumbe walaaa akabaki na kirohopapo
Jumamosi ndio kuliamsha dude wahenga waliposogea akakimbiaaaaaa.....
Sasa kakimbia lakini kivuli chake kinamfuataaa
NB:hakuna mtu wakumchukia ila amekua kiburudisho chawahenga
Cc: Evelyn Salt Maserati Sakayo dark angel geniveros
Naona Smart911 kabadili account anajiita FINIRGod is great kwakweli.
As I searched for mume mume, I thank his aboundant blessings over me.
He gave me a gently and wonderful man ever met before.
We are in the early stage of malovee but i'm certainly sure that he's loving and caring one.
Naahidi kukupenda na kujipenda katika hali yoyote na wakati wowote na kuishi nawe kwa amani bila ugomvi.
Its the way you teach me, warn me and definitely got along with me.
I love you darling.
You really make my heart bampbamp.
Nakupenda sana mkulima wangu
FINIR.
Una ushaur mzur mpka nakupendaga miss chagga ....ukifikia maamuz ya mahondaw ntatangaza niahongera kwa moyo wako kukubali kupenda na kufanya maamuzi mazuri na magumu ... ubarikiwe na uwe mwaminifu mpaka utakaopokufa...... michepuko hupunguza stress..... acha michepuko au tumia condom... kinga ni bora kuliko tiba
Sijakuchoka nakuhitaji kwenye Chama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eve umenichoka
Duu Rubii aisee kumbe Unayajua Mambo yote katika Admin aukutiaye Bundle...Hakuna hata anaewachukia kujishuku kwao tu!!
Cc: Cc tulikua tunachukulia kawaida siunajua mambo ya penzi jipya???
Ila sasa kero ilianzia mambo ya faragha kuyaandika katikati ya thread za watu.
Wewe ukato.mba.ne huko uje usifiane kwenye thread ustaarabu gani?
thread ya msiba iloveyou kiuno vinafaa nini?!
Lakini kote huko wahenga tuliwapotezea wakizoeana vikojoleo watanyamaza t
u
Sasa juzjuz wahenga walikua wanajadiliana code zikampita akajua ni yeye kumbe walaaa akabaki na kirohopapo
Jumamosi ndio kuliamsha dude wahenga waliposogea akakimbiaaaaaa.....
Sasa kakimbia lakini kivuli chake kinamfuataaa
NB:hakuna mtu wakumchukia ila amekua kiburudisho chawahenga
Cc: Evelyn Salt Maserati Sakayo dark angel geniveros
Karibu sanaUna ushaur mzur mpka nakupendaga miss chagga ....ukifikia maamuz ya mahondaw ntatangaza nia
rap beast
Ushauri huuhongera kwa moyo wako kukubali kupenda na kufanya maamuzi mazuri na magumu ... ubarikiwe na uwe mwaminifu mpaka utakaopokufa...... michepuko hupunguza stress..... acha michepuko au tumia condom... kinga ni bora kuliko tiba
usichoke unashauri kote kotehahahahhaa michepuko inaimarisha ndoa they say! umenichosha kweli kweli miss chagga
Kama kuna kupiga kura umepata ya kwangu...Sijakuchoka nakuhitaji kwenye Chama
Mi ndo mwenyekiti, na sitoki madarakani kama lipumba yani 😀
Code za wahenga hazijawahi kumuacha mtu salama, lazima ujichanganye.Hakuna hata anaewachukia kujishuku kwao tu!!
Cc: Cc tulikua tunachukulia kawaida siunajua mambo ya penzi jipya???
Ila sasa kero ilianzia mambo ya faragha kuyaandika katikati ya thread za watu.
Wewe ukato.mba.ne huko uje usifiane kwenye thread ustaarabu gani?
thread ya msiba iloveyou kiuno vinafaa nini?!
Lakini kote huko wahenga tuliwapotezea wakizoeana vikojoleo watanyamaza t
u
Sasa juzjuz wahenga walikua wanajadiliana code zikampita akajua ni yeye kumbe walaaa akabaki na kirohopapo
Jumamosi ndio kuliamsha dude wahenga waliposogea akakimbiaaaaaa.....
Sasa kakimbia lakini kivuli chake kinamfuataaa
NB:hakuna mtu wakumchukia ila amekua kiburudisho chawahenga
Cc: Evelyn Salt Maserati Sakayo dark angel geniveros
Aache michepuko afu atumie condom!! Sijakuelewa hapo maana km anaacha michepuko condom aitumie kwa huyu alompata?hongera kwa moyo wako kukubali kupenda na kufanya maamuzi mazuri na magumu ... ubarikiwe na uwe mwaminifu mpaka utakaopokufa...... michepuko hupunguza stress..... acha michepuko au tumia condom... kinga ni bora kuliko tiba
Ukimuacha ni sawa kama utakuja kwangu.
Nakuhitaji chemba tafazaliCode za wahenga hazijawahi kumuacha mtu salama, lazima ujichanganye.
Kama akishindwa kuacha atumie condomAache michepuko afu atumie condom!! Sijakuelewa hapo maana km anaacha michepuko condom aitumie kwa huyu alompata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya, tangulia nakujaNakuhitaji chemba tafazali