Nimepata jamani nimepata

Nimepata jamani nimepata

Hakuna hata anaewachukia kujishuku kwao tu!!
Cc: Cc tulikua tunachukulia kawaida siunajua mambo ya penzi jipya???
Ila sasa kero ilianzia mambo ya faragha kuyaandika katikati ya thread za watu.
Wewe ukato.mba.ne huko uje usifiane kwenye thread ustaarabu gani?
thread ya msiba iloveyou kiuno vinafaa nini?!
Lakini kote huko wahenga tuliwapotezea wakizoeana vikojoleo watanyamaza t
u
Sasa juzjuz wahenga walikua wanajadiliana code zikampita akajua ni yeye kumbe walaaa akabaki na kirohopapo
Jumamosi ndio kuliamsha dude wahenga waliposogea akakimbiaaaaaa.....
Sasa kakimbia lakini kivuli chake kinamfuataaa

NB:hakuna mtu wakumchukia ila amekua kiburudisho chawahenga
Cc: Evelyn Salt Maserati Sakayo dark angel geniveros
Exactly..
Yeye kajiweka uchi mwenyewe.
Wameamua kufanya zinaa hadharani.
Kaamua kuliamsha dude asiloweza kulishusha.
Sisi tufanyaje sasa.? Tuna watch tuu mpaka mwisho.
 
God is great kwakweli.

As I searched for mume mume, I thank his aboundant blessings over me.

He gave me a gently and wonderful man ever met before.

We are in the early stage of malovee but i'm certainly sure that he's loving and caring one.

Naahidi kukupenda na kujipenda katika hali yoyote na wakati wowote na kuishi nawe kwa amani bila ugomvi.

Its the way you teach me, warn me and definitely got along with me.

I love you darling.

You really make my heart bampbamp.

Nakupenda sana mkulima wangu
FINIR.
Naona Smart911 kabadili account anajiita FINIR

rap beast
 
hongera kwa moyo wako kukubali kupenda na kufanya maamuzi mazuri na magumu ... ubarikiwe na uwe mwaminifu mpaka utakaopokufa...... michepuko hupunguza stress..... acha michepuko au tumia condom... kinga ni bora kuliko tiba
Una ushaur mzur mpka nakupendaga miss chagga ....ukifikia maamuz ya mahondaw ntatangaza nia

rap beast
 
Hakuna hata anaewachukia kujishuku kwao tu!!
Cc: Cc tulikua tunachukulia kawaida siunajua mambo ya penzi jipya???
Ila sasa kero ilianzia mambo ya faragha kuyaandika katikati ya thread za watu.
Wewe ukato.mba.ne huko uje usifiane kwenye thread ustaarabu gani?
thread ya msiba iloveyou kiuno vinafaa nini?!
Lakini kote huko wahenga tuliwapotezea wakizoeana vikojoleo watanyamaza t
u
Sasa juzjuz wahenga walikua wanajadiliana code zikampita akajua ni yeye kumbe walaaa akabaki na kirohopapo
Jumamosi ndio kuliamsha dude wahenga waliposogea akakimbiaaaaaa.....
Sasa kakimbia lakini kivuli chake kinamfuataaa

NB:hakuna mtu wakumchukia ila amekua kiburudisho chawahenga
Cc: Evelyn Salt Maserati Sakayo dark angel geniveros
Duu Rubii aisee kumbe Unayajua Mambo yote katika Admin aukutiaye Bundle...
 
hongera kwa moyo wako kukubali kupenda na kufanya maamuzi mazuri na magumu ... ubarikiwe na uwe mwaminifu mpaka utakaopokufa...... michepuko hupunguza stress..... acha michepuko au tumia condom... kinga ni bora kuliko tiba
Ushauri huu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hakuna hata anaewachukia kujishuku kwao tu!!
Cc: Cc tulikua tunachukulia kawaida siunajua mambo ya penzi jipya???
Ila sasa kero ilianzia mambo ya faragha kuyaandika katikati ya thread za watu.
Wewe ukato.mba.ne huko uje usifiane kwenye thread ustaarabu gani?
thread ya msiba iloveyou kiuno vinafaa nini?!
Lakini kote huko wahenga tuliwapotezea wakizoeana vikojoleo watanyamaza t
u
Sasa juzjuz wahenga walikua wanajadiliana code zikampita akajua ni yeye kumbe walaaa akabaki na kirohopapo
Jumamosi ndio kuliamsha dude wahenga waliposogea akakimbiaaaaaa.....
Sasa kakimbia lakini kivuli chake kinamfuataaa

NB:hakuna mtu wakumchukia ila amekua kiburudisho chawahenga
Cc: Evelyn Salt Maserati Sakayo dark angel geniveros
Code za wahenga hazijawahi kumuacha mtu salama, lazima ujichanganye.
 
hongera kwa moyo wako kukubali kupenda na kufanya maamuzi mazuri na magumu ... ubarikiwe na uwe mwaminifu mpaka utakaopokufa...... michepuko hupunguza stress..... acha michepuko au tumia condom... kinga ni bora kuliko tiba
Aache michepuko afu atumie condom!! Sijakuelewa hapo maana km anaacha michepuko condom aitumie kwa huyu alompata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom