Hii ndio asili ya mwafrika, tupo vizuri kwa issues zisizo na mashiko.Aisee mi nataka kujua kosa la mahondaw ni nin maana anaandamwa yeye tu ,smart hawamgusi
Allepo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaha JF raha
Watongozaji wa waume za watu naona mko vizuri!!!Mahabati. Hongera wifi
don't care for those who ignore you,care for those who are ignoring others for you[\color].
Watongozaji wa waume za watu naona mko vizuri!!!
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hii ndio asili ya mwafrika, tupo vizuri kwa issues zisizo na mashiko.
Hivi hajatoa evidence bado???Kwakuwa yeye alitongoza anadhani wote ni watongozaji??
Hivi hajatoa evidence bado???
Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
Preach it my sister [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hakuna hata anaewachukia kujishuku kwao tu!!
Cc: Cc tulikua tunachukulia kawaida siunajua mambo ya penzi jipya???
Ila sasa kero ilianzia mambo ya faragha kuyaandika katikati ya thread za watu.
Wewe ukato.mba.ne huko uje usifiane kwenye thread ustaarabu gani?
thread ya msiba iloveyou kiuno vinafaa nini?!
Lakini kote huko wahenga tuliwapotezea wakizoeana vikojoleo watanyamaza t
u
Sasa juzjuz wahenga walikua wanajadiliana code zikampita akajua ni yeye kumbe walaaa akabaki na kirohopapo
Jumamosi ndio kuliamsha dude wahenga waliposogea akakimbiaaaaaa.....
Sasa kakimbia lakini kivuli chake kinamfuataaa
NB:hakuna mtu wakumchukia ila amekua kiburudisho chawahenga
Cc: Evelyn Salt Maserati Sakayo dark angel geniveros
Mfamaji au mshambaHana lolote yalikua maneno ya mfamaji tu yale
Mfamaji au mshamba