Nimepata jamani nimepata

Nimepata jamani nimepata

Tunakutakia kila la heri lakini inabidi uwe mwangalifu waweza kuja hapa jamvini ukitaka wasuruhishi wa kuvurugwa na hicho kipenzi chako bila shaka tuta mute!
 
Hakuna hata anaewachukia kujishuku kwao tu!!
Cc: Cc tulikua tunachukulia kawaida siunajua mambo ya penzi jipya???
Ila sasa kero ilianzia mambo ya faragha kuyaandika katikati ya thread za watu.
Wewe ukato.mba.ne huko uje usifiane kwenye thread ustaarabu gani?
thread ya msiba iloveyou kiuno vinafaa nini?!
Lakini kote huko wahenga tuliwapotezea wakizoeana vikojoleo watanyamaza t
u
Sasa juzjuz wahenga walikua wanajadiliana code zikampita akajua ni yeye kumbe walaaa akabaki na kirohopapo
Jumamosi ndio kuliamsha dude wahenga waliposogea akakimbiaaaaaa.....
Sasa kakimbia lakini kivuli chake kinamfuataaa


NB:hakuna mtu wakumchukia ila amekua kiburudisho chawahenga
Cc: Evelyn Salt Maserati Sakayo dark angel geniveros
Preach it my sister [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom