Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Wacha wee. Nipe habariHuo hauna madhara kwa jamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha wee. Nipe habariHuo hauna madhara kwa jamii
Shemela na huu uzi utapigwa pin tenaWacha wee. Nipe habari
Unajifunza moja, miaa moja.Kwa Series hii nimejifunza jambo muhimu sana
Waupige tu, wakati huo sisi tunafukua mengine.Shemela na huu uzi utapigwa pin tena
Unajifunza moja, miaa moja.
Na kuheshimu mahusiano yako.
Sio kuyatangaza ubao wa matangazoni..
Mimi napendwa sana na bwana wangu wengine mkasome na wivu wenuUtafikiri huna bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa watu wamekosa Nini jamani
Kamuulize wolper, watu wabaya wamefukua kaburi la ben 10 wa wolperUsiri na kujiheshimu jambo muhimu sana
Mkuu shetani mlimfanya rafiki nini akapita karibu mkamkaribishaAmeen,tunaendelea na maombi ili shetani apite mbali
Yafukuliwe mara 2Msifukue makaburi jamani mkatoa viunzi vya watu, wengine waoga sie
Angalie usijekua kama Frola mbashaGod is great kwakweli.
As I searched for mume mume, I thank his aboundant blessings over me.
He gave me a gently and wonderful man ever met before.
We are in the early stage of malovee but i'm certainly sure that he's loving and caring one.
Naahidi kukupenda na kujipenda katika hali yoyote na wakati wowote na kuishi nawe kwa amani bila ugomvi.
Its the way you teach me, warn me and definitely got along with me.
I love you darling.
You really make my heart bampbamp.
Nakupenda sana mkulima wangu
FINIR.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Team roho mbaya imefanya juhudi kubwa za kuufufua huu uzi. Toka asbuhi, wengine wanajaribu wanafuta post zao naona hii kama inaelekea kutiki hivi
Mkuu naona ulitia neno la msingi sanaKwa hizi early stages make it extremely personal trust me si kila mtu analifurahia hili....!!!both sexes
Ngoja niwe mtazamaji tudada alichezea masharubu ya muhenga mmoja hivii...laiti kama asingejichetua vile haya yote yangebaki sirini
AISEEEE HII VITA SIYO YA KULALA NAA BOXER MUDA WOWOTE UNAWEZA TOLEWA BALUUUUaliepost kapost kamaliza yake..wakucoment nao wanacomment kivyao..nakumbuka kwenye bios miaka ileeeee tulisomaga aina za midomo ya ndege.....wengine mireefuuu yakunyooka, wengine mirefuuu yakupinda, wengine imetawanyika n.k.. tabu tupu yan anyway kila mmoja anaongea kulingana na domo lake..