Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kuhamia USA nikitaka, lakini mshahara ni ule ule popote nitakapoamua kufanyia kazi

Kuna mshkaji alitokea Boston,MA alikuja dar alikuwa analipwa mshahara uleule wa Boston tena hajapewa hata hela ya kumove zaidi ya kununuliwa ticket tu. Kila company ina policies zake
Exactly!
 
Acha ushamba we M18,9....................50 hazikutoshi😂
 
We ni mjinga Sana huu uamuzi utakuja kuusahau
 
Ushauri huu apa kimbia haraka bila kupepesa macho pembeni.
 
Nimeonelea kuwa itakua na faida zaidi kwangu nikiendelea kubaki hapa hapa, mpango ni kuweza ku save as much as possible, na kufanya investiments za long term na short term hapa hapa nchini.
👏🏽👏🏽👏🏽
 
[emoji16][emoji16]
 
Watu wamegom kuwa mtaji wa fisiemu mkuu.
 

Kaa kule miezi sita, mwaka mmoja usome mazingira. ndio ufanye uamuzi. Visa utakuwa nayo tayari. Unaweza kurudi kuishi bongo.
 
Mnawezaje kwenda kuanza moja kwenye nchi za kigeni zenye tamaduni tofauti kabisa na mlizokulia huku mkiacha nyuma kila kilichowakuza... ?!
Mkuu kila mtu na mawazo yake,
Nilitimka baada ya kuchomwa vyupa tumboni,nyukwa risasi mara 2.
Siku zikalambwa dola km 5000 na mil 2 hela za bosi.
Kupigana chupa ,visu kawaida tu,
Gonga gari mshenzi mmoja nimempa gari kumbe anakunywa viroba.
Kalibamiza nikaibiwa kilakitu tukajikuta ICU..
Nako polisi wamelamba gari wakaandikisha tumekufa.
Mungu jaalia yule daktari ndio katupima tuko wazima ni damu tu.
Toka hapo kibasila nako kidogo kukatwa mguu.
Wanadai umeharibika,
(BOda hawa wanalimwa miguu pale nimeona)
Kumbe kuna mpumbavu mmoja Fundi magongo ya vilema ana deal na madoctor.
Aisee nilitoka nimechoka sana.
Sasa hiyo nchi unakaaje?
 
Nawaza mtu mwenye elimu ya kulipwa mshahara wa 19,125,000
Anakosaje uwezo wa kuchanganua kipi ni kipi kwake mpaka aulize jf .... nawaza tu wakuu
Inawezekana kabisa. Mdogo wangu IT alimaliza chuo akadaka mkataba wa nje ya nchi ila kazi anafanyia hapahapa bongo mshahara Dollar 4500. Lakini hana uzoefu wowote wa maisha. 10M+ inaingia kwenye Account kila mwezi.
 
Dah, pole sana.
 
Hizi fani tulizosomea wengine tunaona tu mishahara ya dola afu 7500 dah life has no balance
 
Umefanya maamuzi mazuri sana, kwa mshahara huo ni posho ya mwezi ya wanafunzi wanayopewa kwa health Insurance, accomodation, communication, food and other utilities. Kumbuka huyu ni mwanafunzi , yuko peke yake na posho hii inaisha.

Sasa wewe unafamilia mke na watoto ungebakia kila mwezi kukopa. Health Insurance, accomodation, communication, food and other utilities ndio vitu hadimu na aghali sana, sasa ongezea school fees na transport kwa watoto wawili, yaani ungeangukia kichwa, unless kama ungeamu kujibana kachumba ka watu wawili.

Ungeamua kukata non comprehensive health insurance coverage; hapa wewe au mtoto akiugua ndipo moto ungeupata, kulazwa siku mbili millioni na uchafu na kutokata kabisa is suicidal, Vyakula vyao huko ni hatari na tasteless, hakuna mama ntilie, kila mgahawa na hotel ni licensed na bei inatisha, kununua tropical foods itabidi ujipange unless utaishia kuwapa watoto makuku ya genetic engeneering, kunenepa wangenenepa ila cha moto wangekipata.
 
Hata Ije itokee namimi nipate nafasi ya kwenda yuesiei sitakwenda! Huu ushauri wako ni balaa sitakanyaga huko.
 
Kwa US hiyo ni pesa ndogo .

Pia sijui kama walikua wanakupa accomodation na transport.

Wewe ubakize bills zingine tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…