Watu wanapataje hizi remote jobs?Kuna makato sana, hiyo hela kama ni offer waliokupa ukibaki sana ni na dollar 1700-2800 kwa US. Huwezi pata hiyo hela ajira yyte us. Maana hujatuambia makato. Wether upo bongo au kule. Makato ni yale yale yanakuhusu.
So baki bongo kama kweli.
Fanya remote. Wapo wengi tu wanafanya remote. Haswa watu wa pharmacy, sales za magari au wale realtor wapo wengi tu bongo. Ila offer yako pia ndogo sana wamekupa.
Wenzako wengi Wanakula 12000 usd mpaka 16,000 wanabaki na kati ya 6,000 na 7500 so review your agreement.
Ndio urudi hapa.
Mkuu tusaidie tupate links za kuomba kazi za remoteNaona naysayers wamekua wengi sana.
Anyways, ni sawa pia kwa sababu ni sahihi watu kuwa na wasiwasi, wanasema wasiwasi ndio akili.
Hii nafasi ilikua ni global, yaani ililua mtu kutoka sehemu yoyote ile ya dunia anaweza ku apply, hivyo kwenye interviews nilishindana na watu kutoka nchi mbalimbali. I did like 5 rounds of interviews. Kwenye tangazo la kazi, location ilionyesha kuwa preferred locations ni zile nchi za Africa ambazo mradi husika unatekelezwa.
Baada ya kupita rounds zote interviews kwenye dicussions kabla ya kusaini mkataba ndio zimekuja hizo options; Wao kama wao hawana shida nikifanyia kazi hata huku huku Tz, lakini in case nikitaka kuhamia USA, ndo hiyo nafasi ipo na wata sponsor H-1B VISA kuwezesha hilo, lakini benefits zinabaki zile zile tu. Hakuna ongezeko kwa sababu ishu ya kuhamia USA ni uchaguzi wangu sio requirement ya kazi yao, I can work from here and still deliver perfectly bila shida.
Pia, kitu kingine ni kwamba, naweza pia nikabaki hapa bongo lakini nisiwe employer wao, ila nikafanya nao kazi nikiwa kama consultant, na nikawa napata the same benefits, ila hapo nakua tu consultant.
Wengi ni wale waliishi au kusoma huko kwa muda flani. Hizi kazi wanazipata hasa marekani.Watu wanapataje hizi remote jobs?
Kwanini unamwambia hivyo? Mimi rafiki yangu ni IT (developer) ana kama mwezi amesign mkataba anafanya remotely na wanamlipa vizuri “kibongo bongo”. Ndio kwanza ana mwezi mmoja tangu aanze kazi.Umepigwa au unakaribia kupigwa! Hakuna cha ajira wala mjomba wake ajira! Shtuka!
Nikishatulia nitaandika uzi wa namna ya kuji position kwa ajili ya hizi fursa za kazi za remotely kwa organizations za USA na UK; Sio rahisi lakini inawezekana kabisa. Bora wewe umeuliza kuliko waliojaa negativity kwa huu uzi.Mkuu tusaidie tupate links za kuomba kazi za remote
Zinahitaji exposure fulani ambayo si rahisi sana kupatikana kwa AVERAGE youths wengi wa Kitanzania.Kwanini unamwambia hivyo? Mimi rafiki yangu ni IT (developer) ana kama mwezi amesign mkataba anafanya remotely na wanamlipa vizuri “kibongo bongo”. Ndio kwanza ana mwezi mmoja tangu aanze kazi.
Kazi zipo ila zinahitaji skills fulani fulani adimu.
Mimi hao waliojaa ma negativity hata sipotezi muda kuwajibu, nawaacha na negativities zao wasije niambukiza bure.Kwanini unamwambia hivyo? Mimi rafiki yangu ni IT (developer) ana kama mwezi amesign mkataba anafanya remotely na wanamlipa vizuri “kibongo bongo”. Ndio kwanza ana mwezi mmoja tangu aanze kazi.
Kazi zipo ila zinahitaji skills fulani fulani adimu.
Na mimi naomba unistue mkuu🙏🙏 all the best bro, kingine pia mshirikishe Mungu yeye ndie anajua mwisho na mwanzo wetu.Nikishatulia nitaandika uzi wa namna ya kuji position kwa ajili ya hizi fursa za kazi za remotely kwa organizations za USA na UK; Sio rahisi lakini inawezekana kabisa. Bora wewe umeuliza kuliko waliojaa negativity kwa huu uzi.
Nikisha settle nitaandika hiyo thread, nitakushtua DA HUSTLA
Hahahahaha...!! Sawa mkuu, ila kumbuka yanayoonyeshwa kwenye movie ni 5% tu ya uhalisia mkuu. Kwani kwenye bongo movie zetu umewahi ona wanaongelea mgao wa umeme? Au wanaongelea shida ya maji ambayo ni common kwa sehemu nyingi Dar es salaam?Mkuu mm sijawahi fika US wala sipajui ila nimeangalia TV shows zao, movies plus music zao sijaona umeme ukikatika, sijaona wakilalamika sukari hakuna wala maovyo ovyo utadhani tupo mafunzo ya jkt. Nikushauri tu nenda kabdirishe upepo, ile nchi ni large economic power house, hata mkataba ukiisha huwezi kosa kazi nyingine hapa bongo nyoso mkuu.
Asante sana, nitakushtua mkuu usitie shaka. Ameen...!!Na mimi naomba unistue mkuu🙏🙏 all the best bro, kingine pia mshirikishe Mungu yeye ndie anajua mwisho na mwanzo wetu.
By 30th January (next week) natakiwa niwe nimeshawapa majibu how I would like to proceed with them.Wiki mbili zinaisha lini?
Mkuu kazi ninayofanya inanipa access ya kuwahudumia watalii nachelea kusema 95% ya Wageni wanaokuja Tz kwa ajili ya trophy hunting ni wamarekani, hii inaonyesha jinsi gani wako na power to spend na mind you ili waweze kufanya aina hiyo ya utalii ni lazima uwe well off like real well off! I don't mind to work and live in a country like that especially kama una uhakika wa kupata USD 7500. Hata kule kwao kwa modern families I'm pretty sure is comfy paycheck.Hahahahaha...!! Sawa mkuu, ila kumbuka yanayoonyeshwa kwenye movie ni 5% tu ya uhalisia mkuu. Kwani kwenye bongo movie zetu umewahi ona wanaongelea mgao wa umeme? Au wanaongelea shida ya maji ambayo ni common kwa sehemu nyingi Dar es salaam?
Anyways, nimechukua ushauri wako pia asante sana, nitauchakata katika halmashauri ya kichwa changu.
After taxes (makato waliyoniorodheshea ni Health insurance, Retirement contribution na tax), ambayo ukishakata hayo ndo inabaki 7,500. Japokua sasa hapa naona kuna wadau wengine wamesema ni kama vile kutakua na makato mengine tena zaidi (sina uhakika na hilo, hapa nasema ambacho nimetumiwa na organization). The dumb Professor7500$ ni before au after taxes?
Assuming ni after taxes, hiyo unaishi fresh marekani.
ila utaishi as a normal family.
ila hiyo kwa bongo unaweza ukainvest ukawa tajiri mkubwa sana mwenye chawa wake mjini.
Uamuzi ni wako, uende marekani ukaishi maisha ya kawaida au ubaki bongo uishi kifalme.
Asante sana mkuu kwa ushauri mzuri.Mkuu kazi ninayofanya inanipa access ya kuwahudumia watalii nachelea kusema 95% ya Wageni wanaokuja Tz kwa ajili ya trophy hunting ni wamarekani, hii inaonyesha jinsi gani wako na power to spend na mind you ili waweze kufanya aina hiyo ya utalii ni lazima uwe well off like real well off! I don't mind to work and live in a country like that especially kama una uhakika wa kupata USD 7500. Hata kule kwao kwa modern families I'm pretty sure is comfy paycheck.
Ok, bas fanya ivi...we pga hapa bongo, ila hakikisha unapiga kazi ileile mpaka wakukubali sana. Mda huo unakuwa unainvest vitu vya maana hapa bongo, ikiwa kampuni itakuwa vizuri zaidi.After taxes (makato waliyoniorodheshea ni Health insurance, Retirement contribution na tax), ambayo ukishakata hayo ndo inabaki 7,500. Japokua sasa hapa naona kuna wadau wengine wamesema ni kama vile kutakua na makato mengine tena zaidi (sina uhakika na hilo, hapa nasema ambacho nimetumiwa na organization). The dumb Professor
nakushauri usiende huko ata kama mshara ni sawa na pato la MO kwa wiki,,,nielewe,ukienda huko utarudi tundu la nyuma likiwa kama tundu la shimo la panya wa kawe toka malawi!!!,ukiepuka hilo basi utajikuta umeoa mwanaume aliyebadili jinsia ukifikiri mwanaume ukinusurika hapo basi utaoa robot bila kujua,mpka siku utakapolikuta limelala kwenye sofa ukafikiri limekufa kumbe unatakiwa ulicharge!!Habari wakuu,
Nahitaji ushauri kidogo hapa. Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kufanyia kazi popote pale, na hata kuhamia yalipo makao makuu ya shirika kama nikitaka (Houston, Texas, USA), lakini pia nikitaka naweza kubaki hapa hata Tanzania nikaendelea kufanya kazi remotely, nikawa naenda USA mara mbili tu kwa mwaka. Nikiamua kuhamia USA, maana yake wako tayari kuni sponsor VISA ya H-1B.
The tricky part ni kwamba mshahara ni ule ule, vyovyote vile nitakavyoamua. Jiji ambalo makao makuu ya jamaa yapo ni Houston, jimbo la Texas. Mimi nina familia ya mke na watoto wawili, ofa yao ya mshahara ni USD 7,500 kwa mwezi. Wamenipa muda wa wiki mbili nifanye maamuzi kisha niwaatarifu ili waandae mkataba wangu kulingana na maamuzi nitakayokuwa nimeyafanya.
Kufanya kazi na kuishi USA kiujumla limekuwa ni jambo ambalo nimelitamani sana kwa muda mrefu kusema ukweli, shida ni hapo kwenye maslahi naona kuhamia USA with the same income ambayo naweza pia ipata kwa kubaki hapa bongo ni kama nitakuwa nimerudi nyuma sana, kwa sababu USD 7,500 kwa maisha ya Marekani sio pesa nyingi kihivyo, kulinganisha na bongo ambako unaishi ki-don kweli kweli kwa hiyo pesa.
Najua humu JF kuna wazoefu wa kuishi USA, na pia kuna watu wana exposure za kutosha kiujumla, nikaona sio mbaya nikaja hapa kuomba ushauri.
sungura kamkaba tembo!!!