mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Ndio Nina uhakika kaka mshahara wa kima cha kati USA ni karibu dola 50 so ukiwa unavuta dollar 30 au 40 sio mbaya mzee wanguOkaay, una uhakika mkuu? Naona hapa unanimix tena mkuu.
Hamia tu USA kaka hapa USA kilo ya sukari ni tsh 1500 na utelezi ni bure kabisa. Kaka amka usingizini usije ukajinyea.Habari wakuu,
Nahitaji ushauri kidogo hapa. Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kufanyia kazi popote pale, na hata kuhamia yalipo makao makuu ya shirika kama nikitaka (Houston, Texas, USA), lakini pia nikitaka naweza kubaki hapa hata Tanzania nikaendelea kufanya kazi remotely, nikawa naenda USA mara mbili tu kwa mwaka. Nikiamua kuhamia USA, maana yake wako tayari kuni sponsor VISA ya H-1B.
The tricky part ni kwamba mshahara ni ule ule, vyovyote vile nitakavyoamua. Jiji ambalo makao makuu ya jamaa yapo ni Houston, jimbo la Texas. Mimi nina familia ya mke na watoto wawili, ofa yao ya mshahara ni USD 7,500 kwa mwezi. Wamenipa muda wa wiki mbili nifanye maamuzi kisha niwaatarifu ili waandae mkataba wangu kulingana na maamuzi nitakayokuwa nimeyafanya.
Kufanya kazi na kuishi USA kiujumla limekuwa ni jambo ambalo nimelitamani sana kwa muda mrefu kusema ukweli, shida ni hapo kwenye maslahi naona kuhamia USA with the same income ambayo naweza pia ipata kwa kubaki hapa bongo ni kama nitakuwa nimerudi nyuma sana, kwa sababu USD 7,500 kwa maisha ya Marekani sio pesa nyingi kihivyo, kulinganisha na bongo ambako unaishi ki-don kweli kweli kwa hiyo pesa.
Najua humu JF kuna wazoefu wa kuishi USA, na pia kuna watu wana exposure za kutosha kiujumla, nikaona sio mbaya nikaja hapa kuomba ushauri.
Sasa nimpige nani na kwa lipi?Jamaa anatamanisha watu waingie kwenye mfumo awapige.
Sasa nimpige nani na kwa lipi?
Pitia thread yote, umeona popote nimesema mtu anifuate PM au kiashiria chochote cha upigaji? In fact, hata PM yangu tu its inaccessib
Ni NGO mkuu. Asante kwa ushauri.ni KAZI ya IT, NGO au ipi?vyovyote iwavyo kama mshahara ni huohuo basi Kaa bongo ila utakuwa jnapelekwa US maramojamoja kusoma au expusre training
UPDATE: Napenda kuwapatia update kuwa nimefanya uamuzi kuhusiana na hili suala.Habari wakuu,
Nahitaji ushauri kidogo hapa. Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kufanyia kazi popote pale, na hata kuhamia yalipo makao makuu ya shirika kama nikitaka (Houston, Texas, USA), lakini pia nikitaka naweza kubaki hapa hata Tanzania nikaendelea kufanya kazi remotely, nikawa naenda USA mara mbili tu kwa mwaka. Nikiamua kuhamia USA, maana yake wako tayari kuni sponsor VISA ya H-1B.
The tricky part ni kwamba mshahara ni ule ule, vyovyote vile nitakavyoamua. Jiji ambalo makao makuu ya jamaa yapo ni Houston, jimbo la Texas. Mimi nina familia ya mke na watoto wawili, ofa yao ya mshahara ni USD 7,500 kwa mwezi. Wamenipa muda wa wiki mbili nifanye maamuzi kisha niwaatarifu ili waandae mkataba wangu kulingana na maamuzi nitakayokuwa nimeyafanya.
Kufanya kazi na kuishi USA kiujumla limekuwa ni jambo ambalo nimelitamani sana kwa muda mrefu kusema ukweli, shida ni hapo kwenye maslahi naona kuhamia USA with the same income ambayo naweza pia ipata kwa kubaki hapa bongo ni kama nitakuwa nimerudi nyuma sana, kwa sababu USD 7,500 kwa maisha ya Marekani sio pesa nyingi kihivyo, kulinganisha na bongo ambako unaishi ki-don kweli kweli kwa hiyo pesa.
Najua humu JF kuna wazoefu wa kuishi USA, na pia kuna watu wana exposure za kutosha kiujumla, nikaona sio mbaya nikaja hapa kuomba ushauri.
ha ha haaaaaa nilitaka kuandika hivyo,Utakapo ambiwa utume ela ya kuprocess visa na vibali vya kazi na makazi ndo akili itakukaa sawa.
Hata bongo hiyo hela haitoshiHabari wakuu,
Nahitaji ushauri kidogo hapa. Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kufanyia kazi popote pale, na hata kuhamia yalipo makao makuu ya shirika kama nikitaka (Houston, Texas, USA), lakini pia nikitaka naweza kubaki hapa hata Tanzania nikaendelea kufanya kazi remotely, nikawa naenda USA mara mbili tu kwa mwaka. Nikiamua kuhamia USA, maana yake wako tayari kuni sponsor VISA ya H-1B.
The tricky part ni kwamba mshahara ni ule ule, vyovyote vile nitakavyoamua. Jiji ambalo makao makuu ya jamaa yapo ni Houston, jimbo la Texas. Mimi nina familia ya mke na watoto wawili, ofa yao ya mshahara ni USD 7,500 kwa mwezi. Wamenipa muda wa wiki mbili nifanye maamuzi kisha niwaatarifu ili waandae mkataba wangu kulingana na maamuzi nitakayokuwa nimeyafanya.
Kufanya kazi na kuishi USA kiujumla limekuwa ni jambo ambalo nimelitamani sana kwa muda mrefu kusema ukweli, shida ni hapo kwenye maslahi naona kuhamia USA with the same income ambayo naweza pia ipata kwa kubaki hapa bongo ni kama nitakuwa nimerudi nyuma sana, kwa sababu USD 7,500 kwa maisha ya Marekani sio pesa nyingi kihivyo, kulinganisha na bongo ambako unaishi ki-don kweli kweli kwa hiyo pesa.
Najua humu JF kuna wazoefu wa kuishi USA, na pia kuna watu wana exposure za kutosha kiujumla, nikaona sio mbaya nikaja hapa kuomba ushauri.
UPDATE: Napenda kuwapatia update kuwa nimefanya uamuzi kuhusiana na hili suala.
Nimeamua kuwa nitabakia hapa hapa BONGO, baada ya kuchakata ushauri wenu, pamoja na insights kutoka sehemu mbalimbali. Nimeonelea kuwa itakua na faida zaidi kwangu nikiendelea kubaki hapa hapa, mpango ni kuweza ku save as much as possible, na kufanya investiments za long term na short term hapa hapa nchini. Hivyo, nimeshasaini mkataba wa mwaka mmoja ambao utawezesha hilo. Nawashukuruni nyote kwa mawazo yenu.
1) Bongo una nyumba yako hulipii kodiHabari wakuu,
Nahitaji ushauri kidogo hapa. Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kufanyia kazi popote pale, na hata kuhamia yalipo makao makuu ya shirika kama nikitaka (Houston, Texas, USA), lakini pia nikitaka naweza kubaki hapa hata Tanzania nikaendelea kufanya kazi remotely, nikawa naenda USA mara mbili tu kwa mwaka. Nikiamua kuhamia USA, maana yake wako tayari kuni sponsor VISA ya H-1B.
The tricky part ni kwamba mshahara ni ule ule, vyovyote vile nitakavyoamua. Jiji ambalo makao makuu ya jamaa yapo ni Houston, jimbo la Texas. Mimi nina familia ya mke na watoto wawili, ofa yao ya mshahara ni USD 7,500 kwa mwezi. Wamenipa muda wa wiki mbili nifanye maamuzi kisha niwaatarifu ili waandae mkataba wangu kulingana na maamuzi nitakayokuwa nimeyafanya.
Kufanya kazi na kuishi USA kiujumla limekuwa ni jambo ambalo nimelitamani sana kwa muda mrefu kusema ukweli, shida ni hapo kwenye maslahi naona kuhamia USA with the same income ambayo naweza pia ipata kwa kubaki hapa bongo ni kama nitakuwa nimerudi nyuma sana, kwa sababu USD 7,500 kwa maisha ya Marekani sio pesa nyingi kihivyo, kulinganisha na bongo ambako unaishi ki-don kweli kweli kwa hiyo pesa.
Najua humu JF kuna wazoefu wa kuishi USA, na pia kuna watu wana exposure za kutosha kiujumla, nikaona sio mbaya nikaja hapa kuomba ushauri.
Kila la Kheri, ikitokea huko mbele kuna kuhuisha mkataba, nenda kafanye kazi hukohuko, una watoto, wanahitaji elimu bora ambayo sidhani kama Tz inatosheleza hilo hitaji.ha ha haaaaaa nilitaka kuandika hivyo,
Asante sana. Nimeshaamua kubaki hapa hapa, kama ulivyochambua vizuri, nimeona nikienda kule nitaishi kwa shida sana, maana ni kweli, nilikua naangalia family house nyingi za huko, rent ni around dola 2,000 had 3,000 kwa mwezi. Hapo bado matumizi mengine; hapo hapo usave na kufanya investiment.1) Bongo una nyumba yako hulipii kodi
2) Houston rent ya mwezi town area $2,000 mpaka $3,000.
3) Matumizi bongo familia nzima $1,500 mnaishi vizuri tu.
Kama mimi wewe nabaki bongo kwa mshahara huo, ukijua kujipanga miaka 5 upo mbali sana lakini USA huo mshahara ujibane kweli uweze kuishi vizuri na kuwa na akiba kwa mtu mwenye familia ya watu 4.
Asante, nimeamua kubaki bongo kwa sasa. Huu mradi ni wa miaka mitano, kwa hiyo kwa sasa hivi nimesaini mkataba wa mwaka mmoja ambao nitakua hapa hapa bongo, then I will see in the coming years, uzuri afte mkataba huu kuisha nikisaini mwingine, chance ya kwenda kule bado inakwepo.Kila la Kheri, ikitokea huko mbele kuna kuhuisha mkataba, nenda kafanye kazi hukohuko, una watoto, wanahitaji elimu bora ambayo sidhani kama Tz inatosheleza hilo hitaji.
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Una akili sana mkuu. Hata serikalini tu kunatofauti ya Per Dm ya city na wilayani.Hakuna shirika lenye kujielewa wakatoa same salary scale kwa mtu anakaa bongo na mwingine Texas us ukizingatia tofauti kubwa ya gharama za maisha
Watanzania wengi wanao ishi USA wakipata hio $7,500 kwa mwezi kwa kuja kuishi huku Tanzania 80% yao watarudi bongo.Asante sana. Nimeshaamua kubaki hapa hapa, kama ulivyochambua vizuri, nimeona nikienda kule nitaishi kwa shida sana, maana ni kweli, nilikua naangalia family house nyingi za huko, rent ni around dola 2,000 had 3,000 kwa mwezi. Hapo bado matumizi mengine; hapo hapo usave na kufanya investiment.
Kuna mshkaji alitokea Boston,MA alikuja dar alikuwa analipwa mshahara uleule wa Boston tena hajapewa hata hela ya kumove zaidi ya kununuliwa ticket tu. Kila company ina policies zakeUna akili sana mkuu. Hata serikalini tu kunatofauti ya Per Dm ya city na wilayani.
Mke wako alisemaje before all? Huyo ndo ulitakiwa umsikilize.
Kama una mke na kuja kuomba ushauri huku tayari ushaonyesha kuna kitu hakipo sawa.
Kila shirika lina policy zake mkuu. Mfano, serikali hiyo hiyo per diem dereva analipwa sijui 60,000 au 80,000 kwa siku, wakati boss anaemuendesha kwa siku analipwa hadi 250,000; Ila mashirika ya kimataifa per diem ni flat rate, uwe mkurugenzi au uwe dereva. Hivyo kila organization na policy yake haya mambo hayako fixed.Una akili sana mkuu. Hata serikalini tu kunatofauti ya Per Dm ya city na wilayani.
Mke wako alisemaje before all? Huyo ndo ulitakiwa umsikilize.
Kama una mke na kuja kuomba ushauri huku tayari ushaonyesha kuna kitu hakipo sawa.
Na hii ndo imenifanya mimi kuchagua kubaki hapa Bongo mkuu after thorough consideration.Watanzania wengi wanao ishi USA wakipata hio $7,500 kwa mwezi kwa kuja kuishi huku Tanzania 80% yao watarudi bongo.
Hio hela unaishi kama mfalme bongo mkuu hapo ukienda kuishi Houston lazima utalipa federal tax, State tax na city tax kwenye hio $7,500 kwa mwezi itaishia kuwa $6,300. Rent tufanye $2,500 + umeme,Maji,taka na cable+internet itafika $3,000. Umebakisha $3,300 ukiweka usafiri+simu fanya $500. Imebaki $2,800 mkopo wa gari+ bima yake $500 imebaki $2,300 matumizi ya chakula familia ya 4 $600 imebaki $1,700 nguo+viatu+ watoto shule + mtoko na mengine. Halafu huku bongo mfanyakazi unae ndani huko wife akianza kazi hata kula hutoijua schedule yake😂