Nimepata kazi mpya /mshahara umedabo nabadilisha mchumba

Nimepata kazi mpya /mshahara umedabo nabadilisha mchumba

Kwanini hupendi uliyemzidi? Mi nataka nipate ninayemzidi nimpelekeshe hadi aone dunia chungu!!

Shosty hiyo inabidi limfikie mwafulani anayejidai ajua kupika aonja hadi maji ya ugali...ha ha ha
 
hebu ni pm mm nko maeneo ya ppf oloirien arusha tuwe tunamegana mpaka hiyo probation ya huyo jamaa yako itakapoisha
 
E ee bana ee mwanamke akipata vijisenti watu watajua tu.
 
Kama focus ni pesa au kipato tafuta mchumba mwingine lakini kama ni penzi basi fikiria upya.
 
Heeeh marytina shosti kazi unayo.... Kwahiyo tendency ya kutulia na mmoja inategemeana na kipato chake?? No money No honey au sio?
Duuh asante!
 
Yupo wapi ? Mbona ameingia chaka hajajibu hoja za watu ?
 
Bi mdogo kila ukipotea ukirudi unajambo.
Ila angalia hawa wanaokuzidi umri sometimes starter zinakuwa tabu kupata moto upesi na ikiwaka ndo zali ..
Sijui itabidi uwe na kiserengeti boys? umejipanga vip
.
 
Kwanini hupendi uliyemzidi? Mi nataka nipate ninayemzidi nimpelekeshe hadi aone dunia chungu!!
inabidi mimi na wewe tuchangaye damu ili tuwe neutral kwa nani wa kumpenda
 
katika mambo mungu amenijalia ni kutoangalia kipato cha mtu mimi nachotaka ni malovee tu ya ukweli
tatizo wanaume wa sasa kufulia wamefulia na
wallety empty empty,na mapenzi ya kweli nayo hawana sijui tuwasaidieje
heri nilie na moyo wangu
 
Bi mdogo kila ukipotea ukirudi unajambo.
Ila angalia hawa wanaokuzidi umri sometimes starter zinakuwa tabu kupata moto upesi na ikiwaka ndo zali ..
Sijui itabidi uwe na kiserengeti boys? umejipanga vip
.
nimeacha utoto kwa sasa nalenga pesa tu mambo ya maanjumati ya kitandani ntajijua baadae
watoto watasoma st.kanumba usilete mchezo
 
katika mambo mungu amenijalia ni kutoangalia kipato cha mtu mimi nachotaka ni malovee tu ya ukweli
tatizo wanaume wa sasa kufulia wamefulia na
wallety empty empty,na mapenzi ya kweli nayo hawana
sijui tuwasaidieje
heri nilie na moyo wangu
unakosa pesa na mapenzi bora mie ntapatapo pesa
 
Lazima utakuwa unamatatizo wewe, na usitumie uchagga kama ngao yako wachaga hawako hivyo mama, wewe hujui mapenzi na ukiendelea hivyo tunakupoteza soon kwahiyo kila kitu hela, basi olewa na bank kama jamaa alipo sema hapo juu. Jiulize ukiolewa na aliyekuzidi, baada ya muda ukamzidi tena utaachana nae? Wewe limbukeni wa mishahara. Pole sana. mshara baadhi ya makampuni unapandishwa kila mwaka so kila mwaka bwana mpya? wewe lazima ni mbulu, hamvai chupi nyie.
 
Back
Top Bottom