BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Kwanini hupendi uliyemzidi? Mi nataka nipate ninayemzidi nimpelekeshe hadi aone dunia chungu!!
Shosty hiyo inabidi limfikie mwafulani anayejidai ajua kupika aonja hadi maji ya ugali...ha ha ha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini hupendi uliyemzidi? Mi nataka nipate ninayemzidi nimpelekeshe hadi aone dunia chungu!!
Hahahaha looohhh imenibidi nicheke tu .
usicheke dada yangu anahitaji maombi huyu mwenzetu.
Leo nimejifunza kitu hapa, maji ya ugali nayo yaonjwa ati!.Shosty hiyo inabidi limfikie mwafulani anayejidai ajua kupika aonja hadi maji ya ugali...ha ha ha
hata risasi ya kichana inatotosha nachosaka watotoHaya tafuta aliyekuzidi bibie..ila ukutane na bunduki bila risasi, sijui utakimbilia wapi tena??!!
Ukiongezewa tena utabadilisha au?!!
inabidi mimi na wewe tuchangaye damu ili tuwe neutral kwa nani wa kumpendaKwanini hupendi uliyemzidi? Mi nataka nipate ninayemzidi nimpelekeshe hadi aone dunia chungu!!
ikitokea nimeshaolewa itabidi nivumilieSwali langu ni moja tu .
Kila akipanda cheo na mshahara mnono
Atakuwa anabadilisha wachumba?
nimeacha utoto kwa sasa nalenga pesa tu mambo ya maanjumati ya kitandani ntajijua baadaeBi mdogo kila ukipotea ukirudi unajambo.
Ila angalia hawa wanaokuzidi umri sometimes starter zinakuwa tabu kupata moto upesi na ikiwaka ndo zali ..
Sijui itabidi uwe na kiserengeti boys? umejipanga vip
.
unakosa pesa na mapenzi bora mie ntapatapo pesakatika mambo mungu amenijalia ni kutoangalia kipato cha mtu mimi nachotaka ni malovee tu ya ukweli
tatizo wanaume wa sasa kufulia wamefulia na
wallety empty empty,na mapenzi ya kweli nayo hawana sijui tuwasaidieje
heri nilie na moyo wangu
Unaweza ukaeleza zaidi; ellimu yako ni kiasi gani, mapato yako ni kiasi gani, urefu wako ni kiasi gani, na una kilo ngapi?