Nimepata kazi mshahara baada ya makato yote 250k

mumba09

Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
46
Reaction score
82
Leo nimeitwa kazini katika kampuni fulani hivi, wakanipa mkataba wa kazi mshahara baada ya makato yote ni Tsh 250,000/= sikua na namna nikasaini tu ule mkataba. Kikubwa ni kujifunza na kupata uzoefu maana ndio ajira yangu ya kwanza.

Elimu yangu ni shahada ya rasilimali watu.
 
Bravo. Kambi popote hapo mkuu utapata experiences. Piga kazi mkuu
 
Leo nimeitwa kazini katika kampuni fulani hivi, wakanipa mkataba wa kazi mshahara baada ya makato yote ni Tsh 250,000/= sikua na namna nikasaini tu ule mkataba. Kikubwa ni kujifunza na kupata uzoefu maana ndio ajira yangu ya kwanza.

Elimu yangu ni shahada ya rasilimali watu.
Hongera,anza kazi ,pata uzoefu,
Ila usiache kutafuta fulsa zaidi,
Maisha ni taratibu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom