Madam upo...salam zakoHuo mshahara ni nauli na lunchu yako kwa mwezi. Usiwe na haraka ya kutoa notice hapo kwa shemeji. Anagalia hali kwanza.
Hakika kaka wacha tuchape kazipiga kazi acha kulia lia...tupo kazini mwaka wa tano mshahara 350k na maisha yanaendelea....
Bravo. Kambi popote hapo mkuu utapata experiences. Piga kazi mkuuLeo nimeitwa kazini katika kampuni fulani hivi, wakanipa mkataba wa kazi mshahara baada ya makato yote ni Tsh 250,000/= sikua na namna nikasaini tu ule mkataba. Kikubwa ni kujifunza na kupata uzoefu maana ndio ajira yangu ya kwanza.
Elimu yangu ni shahada ya rasilimali watu.
Hongera,anza kazi ,pata uzoefu,Leo nimeitwa kazini katika kampuni fulani hivi, wakanipa mkataba wa kazi mshahara baada ya makato yote ni Tsh 250,000/= sikua na namna nikasaini tu ule mkataba. Kikubwa ni kujifunza na kupata uzoefu maana ndio ajira yangu ya kwanza.
Elimu yangu ni shahada ya rasilimali watu.
Kweli kabisa!! Fursa zingine atakutana nazo ofisini..Unaweza kulipwa 250,000 lakini humo humo kwa mwezi ukapata mara 3 ya hiyo au mara 2 ya hiyo.
Huo mshahara unaweza usiiguse.
Soma mazingira kwanza