Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 960
- 855
Sina mbavu..JFFanya kote kote, serikalini unaenda kusaini asubuhi tu unaenda zako private kuendelea na shughuli zako..
Ukikutana na mwajiri mkorofi anakupeleka mahakamani, utamlipa fidia. Sheria zimewekwa ili zifuatwe!Je,nisipoandika nikaaga kawaida au nikapiga sim tu nimeacha kazi vp
Huenda pia hana iko cheo anatulisha matango poriMada imekaa kitoto sana . Yaani ubauliza watu namna ya kuaga wafanyakazi wenzako msomi wa chuo kikuu mwenye madaraka makubwa ! Kuna vitu vinashangaza
Mlambe makofi bosi wakoMadam tajwa hapo juu yahusika sana.
Nimekua sekta binafsi kwa miaka kadhaa sasa, hadi kufikia kupewa madaraka makubwa tu kazini. Natakiwa kwenda kuripoti na hapa niko najiuliza namna gani nzuri ya kuaga uongozi na wafanyakazi wenzangu.
Naombeni ushauri wenu wakuu.
Serikalini pazuri kutengeneza pensheni swala kule ni fitna tu.Fanya calculations je wapi unapata faida.usidhani serikalini ndio peponi.
Nani kakwambia??[emoji849][emoji849][emoji849]Fanya kote kote, serikalini unaenda kusaini asubuhi tu unaenda zako private kuendelea na shughuli zako..
Madam tajwa hapo juu yahusika sana.
Nimekua sekta binafsi kwa miaka kadhaa sasa, hadi kufikia kupewa madaraka makubwa tu kazini. Natakiwa kwenda kuripoti na hapa niko najiuliza namna gani nzuri ya kuaga uongozi na wafanyakazi wenzangu.
Naombeni ushauri wenu wakuu.
Omba likizo, ukaripoti na ukiwa likizo toa notisi ya kujiuzulu.Madam tajwa hapo juu yahusika sana.
Nimekua sekta binafsi kwa miaka kadhaa sasa, hadi kufikia kupewa madaraka makubwa tu kazini. Natakiwa kwenda kuripoti na hapa niko najiuliza namna gani nzuri ya kuaga uongozi na wafanyakazi wenzangu.
Naombeni ushauri wenu wakuu.
Hakuna za akiba au uwekezaji? Ukipata ni za kula, zikiisha unarudi kuanza upya.Nikikumbuka enzi zangu tukipiga hela ya dili na washkaji, mfuko una dola ya kula miezi kadhaa kuacha kazi ilikua jambo dogo sana.
Natimba tu na jamaa mda wa kuingia mzigoni, tunaagiza gambe tunalitwanga hapo boss akija kuuliza vp mbona huingii time late atapigwa mkwara mzito na kazi inaisha hapo nadai changu kibabe maana sina time kurudi kuchukua.
Boss inabidi azame ofisini anilipe then tunasepa.
We unauliza tena?
Nilikua kazi yenyewe siitaki vilevile, ila sometime tukifulia na demu wangu ndio nafanya, ye ndo alikua kinara kwenye madeal. Nikiona tumefubaa naenda mzigo ili tusikose ya kula na issue ndogo ndogoHakuna za akiba au uwekezaji? Ukipata ni za kula, zikiisha unarudi kuanza upya.