clixus
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 813
- 628
Ijengewe bango hii pointAkira ya serikali sio ya kuacha mkuu ni permanent
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ijengewe bango hii pointAkira ya serikali sio ya kuacha mkuu ni permanent
Watu wanapigwa sana hapa.. waajiri hawapeleki NSSF..NSSF walikuwa wanaweka ?
Yaan una madaraka makubwa , ila unafikiria kuacha kazi kwa kupiga simu!!!Je,nisipoandika nikaaga kawaida au nikapiga sim tu nimeacha kazi vp
Inawezekana tatizo si namna ya kuacha kazi bali ni maneno gani utatumia. Huo si ustaarabu, ustaarabu ni kuandika barua ukieleza umefanya kazi kwa muda mrefu na unashukuru kwa ushirikiano na uzoefu mkubwa ulioupata hapo. Kwa heshima na taadhima unaomba kutoka katika kazi hiyo au katika kampuni hiyo na kuhamia kwingine ili kwenda kupata uzoefu zaidi utaokuwezesha kujifunza zaidiJe,nisipoandika nikaaga kawaida au nikapiga sim tu nimeacha kazi vp
Huijui serekali ww!!?Madam tajwa hapo juu yahusika sana.
Nimekua sekta binafsi kwa miaka kadhaa sasa, hadi kufikia kupewa madaraka makubwa tu kazini. Natakiwa kwenda kuripoti na hapa niko najiuliza namna gani nzuri ya kuaga uongozi na wafanyakazi wenzangu.
Naombeni ushauri wenu wakuu.