Nimepata kazi Upwork ila sina ujuzi nayo nataka nimpatie mtu

Nimepata kazi Upwork ila sina ujuzi nayo nataka nimpatie mtu

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Habari jaribuni kuangalia hii kazi hapa chini

Sio mjuzi kutumia jukwaaa hili ila nilijaziwa profile na mtu so kuandika sio hobby yangu kabisa kuliko pesa itembeee nimeamua kusghare na marafiki zangu hapa kama unaona dili karibu sana inaliapa $700+ huko

Nimeshabonyeza accept
Screenshot_20230223-111012.png
Screenshot_20230223-110959.png
Screenshot_20230223-110945.png
 
Hapo una takiwa utambe, mwambie aongeze mpunga tupige kazi chap...

Kazi ya tangu mwaka jana haijapata mtu, hiyo kazi ni kumringia yani una tamba wewe, una msogeza kwenye kumi nane zako una mpiga
 
Hapo una takiwa utambe, mwambie aongeze mpunga tupige kazi chap...

Kazi ya tangu mwaka jana haijapata mtu, hiyo kazi ni kumringia yani una tamba wewe, una msogeza kwenye kumi nane zako una mpiga
Aaa mkuu mimi hata iyo option ya kutambia siijui iko wapi?
Hizo ni scams hazina maana.
Ahsante naifutilia mbali
Kuweni makini sasa hivi atalia mtu. Huwa mnaingia kichwa kimeinama kama kondoo
😂😂😂 Kwaiyo niachane nayo?
Unatoa pesa Ngapi tufanye kazi
Mimi sina pesa ya kumpa mtu nilitaka nimpe mtu acc afanye akinifikiria baridi
kuna walakini kwenye hiyo gig, yaani tangu Aug 2022,
doh, na uka accept kabisa,
Aaaa duh sijakupata
 
Aaaa duh sijakupata
ulikosea ku accept kwa kazi ambayo huna uzoefu nayo, au kwakua ni $700+ imekutoa roho ?

sijui kwa Upwork , lakini wa freelancer sites zingine, kitendo cha ku accept tu, tayari wananyuka 10% fee yao

Haijalishi kama kazi utaimaliza au lah (au unaweza maliza lakini ni kinyume na matarajio yake) au gig ni scam

ila kama profile yako ni mpya, huna cha kupoteza
 
ulikosea ku accept kwa kazi ambayo huna uzoefu nayo, au kwakua ni $700+ imekutoa roho ?

sijui kwa Upwork , lakini wa freelancer sites zingine, kitendo cha ku accept tu, tayari wananyuka 10% fee yao , ila haka

Haijalishi kama kazi utaimaliza au lah (au unaweza maliza lakini ni kinyume na matarajio yake) au gig ni scam

iala kama profile yako ni mpya, huna cha kupoteza
Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom