Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Unatoa pesa Ngapi tufanye kaziHabari jaribuni kuangalia hii kazi hapa chini
Sio mjuzi kutumia jukwaaa hili ila nilijaziwa profile na mtu so kuandika sio hobby yangu kabisa kuliko pesa itembeee nimeamua kusghare na marafiki zangu hapa kama unaona dili karibu sana inaliapa $700+ huko
Nimeshabonyeza accept
View attachment 2527234View attachment 2527235View attachment 2527236
Aaa mkuu mimi hata iyo option ya kutambia siijui iko wapi?Hapo una takiwa utambe, mwambie aongeze mpunga tupige kazi chap...
Kazi ya tangu mwaka jana haijapata mtu, hiyo kazi ni kumringia yani una tamba wewe, una msogeza kwenye kumi nane zako una mpiga
Ahsante naifutilia mbaliHizo ni scams hazina maana.
πππ Kwaiyo niachane nayo?Kuweni makini sasa hivi atalia mtu. Huwa mnaingia kichwa kimeinama kama kondoo
Mimi sina pesa ya kumpa mtu nilitaka nimpe mtu acc afanye akinifikiria baridiUnatoa pesa Ngapi tufanye kazi
Aaaa duh sijakupatakuna walakini kwenye hiyo gig, yaani tangu Aug 2022,
doh, na uka accept kabisa,
ulikosea ku accept kwa kazi ambayo huna uzoefu nayo, au kwakua ni $700+ imekutoa roho ?Aaaa duh sijakupata
Ahsante mkuuulikosea ku accept kwa kazi ambayo huna uzoefu nayo, au kwakua ni $700+ imekutoa roho ?
sijui kwa Upwork , lakini wa freelancer sites zingine, kitendo cha ku accept tu, tayari wananyuka 10% fee yao , ila haka
Haijalishi kama kazi utaimaliza au lah (au unaweza maliza lakini ni kinyume na matarajio yake) au gig ni scam
iala kama profile yako ni mpya, huna cha kupoteza