Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Ataj8kojolea na kujamba kabisa
 
Wewe ni meneja wa makampuni
 
Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.
Hebu lipwa kwanzaaaa ndio uane kubwabwaja hapa mtandaoni hicho 10M ndio unakiona cha maana utakwinyea na utarudi back square one.invest ktk kilimo au ufugaji utanishukuru milele.
 
Idiot
 
Wewe hata uwe na billioni 10 utaendelea kuwa masikini.

Umasikini ni hali ya mtu siyo kipato cha mtu.
 
Hii mil10 ni kwa mwaka au?
 
Hao wazungu kutoka UN waliopo pale kambi ya ukimbizi nyarugusu wanalipwa $4500 Kwa mwezi Sasa wewe ni NGO gani kigoma ikulipe million kumi Kwa mwezi? Labda ya wachawi na mizimu
Wapi kasema mshahara huo ni kwa mwezi?
 
Si nimekwambia, kutokuwa kondoo.

Nini hujaelewa hapo?
Jibu lako halishawishi kwasababu halina uhalisia zaidi ya uji"nga ulioandika hausiani chochote wala kusaidia kwenye mada, hujambo viherehere km ww mnavyofikiri ni rahisi tu kumshawishi mtu ukidhani kila mtu ni mwepesi, wafundishe wenzako kwanza wapo kibao wanafuga nguruwe na kula
 
Milioni kumi nayo ni pesa?
 
Kukushawishi kuhusu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…