kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Poa Chief. Mi nina experience aisee ni watu wachache wanafurahia mafanikio yako mkuu. Zaman mi katika kutembea kwangu humu nchini nilikuwa najiuliza kwanini haya makabila mengine hawajengi kwao na mjin wapo vizur? Nikaja kugundua wivu husuda na uchawi so wengi waliotoka walizamia mijin jumla anaficha siri za mafanikio yake harud kwao kujenga au kutembelea Christmas atalogwa so kule kuficha siri zao wameepuka na mengi. So vijana jifunzen kutunza Siri na kubana matumiz na kumuomba Mungu. Muda mfupi sana miaka mitano tu utaona muujiza. Shida ukiishi kwa group au ukikatia tamaa sijui nitakufa kesho hiyo haiondoi ukweli kuwa harakat zisimame unatakiwa upambane tena na tena mpaka upate majibu. Bible inasema. Mungu anatuambia amtafutae kwa bidii atamuona so kila kitu ukikifanya kwa bidii lazima uje na jibu tofauti. Huna muda wa kupoteza wala umri maalumu wa kutafuta umri wowote ukiamua kuanza unatoka shida ipo kwenye commentment na consistency wengi tunafeli tunabaki kulaumu historia.Hii comment naihifadhi kwenye maktaba yangu for further reference