Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Mtafute Wema Sepetu, Dimondi alianzaga kulipwa milioni kumi akmtafuta sasa hivi ni bilionea Dangote, Sheikh Mansoor
 
Huwa sina muda wa kuandika mengi, lakini kwaufupi ushauri kwa vijana.
Iwe kwenye biashara au kazi.

Cha kwanza Tambua tatizo la hiyo sehemu (,problem identification), kuna sehemu wana tatizo ila hawajijui kama wanalo..hivyo problem identification ni skill mojawapo kubwa.

Mfano kabla ya Jeff bezos kuleta Amazon online shopping watu hatukuona tatizo kwenda supermarket na kupanga foleni ili upate bidhaa, utembee nusu siku duka hadi duka kutafuta bidhaa tofauti, tuliona sio tatizo bali ndivyo maisha yalivyo.
Kabla ya Uber kujabwatu hatukuaoana tatizo kwenda kituon kusubiri daladala au kusubiria taxi..infact tuliona ni luxury kufanya hivyo ila uber akatuonesha kuwa hilo ni tatizo na akaoffer solution.

Cha pili tengeneza viable,efficient and convenient solution.
The bigger the problem the better the solution the more money utakuwa offered au utamake kama ni busines.
Yangu kwa leo ni hayo tu.
You got something in mind boy! 👏👏
 
Naombeni ushauri jamani,

Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yaani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kanisani.

Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.

Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini. Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.
Njoo nikutengenezee website na mobile application upate pesa ukiwa umelala
 
Naombeni ushauri jamani,

Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yaani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kanisani.

Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.

Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini. Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.
Ushauri wangu kwa kuwa utakuwa Kigoma ukifika huko tafuta mganga mzuri utanishukuru badae
 
Na wewe ni MUONGO,Mashirika yanayolipa vizuri Kigoma ni CWS(Church World Service,IOM na WFP kisha UNHCR,naongea kutokana na uzoefu nilionao maana Wafanyakazi wote wa Mashirika tunajuana,tunakula na kunywa pamoja hapa MAKERE karibu na Kambi ya Wakimbizi Nyarugusu
Na wewe muanzisha UZI kama ni kweli karibu MAKERE,nitakuwa mwenyeji wako,njoo PM
Makere kuna nyama choma tamu sana pale kwenye ile centre.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom