Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Kwahiyo asile kitimotoKuwa Muislam.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo asile kitimotoKuwa Muislam.
Sijakulazimisha kuaminiWeka uthibitisho wa kipande cha mkataba sehemu ya mshahara jike stupa wewe
Kwahiyo asile kitimoto
Akisogea mitaa ya ujiji hawezi kuwakosa, wamejazana sana pale.Umepata "mwarabu" huko Kigoma?
Pimbi weweSijakulazimisha kuamini
Sasa unawaza ukooNaombeni ushauri jamani,
Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yaani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kanisani.
Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.
Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini. Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.
hapo sio?
Kiongozi,Hao wazungu kutoka UN waliopo pale kambi ya ukimbizi nyarugusu wanalipwa $4500 Kwa mwezi Sasa wewe ni NGO gani kigoma ikulipe million kumi Kwa mwezi? Labda ya wachawi na mizimu
Nikajua walikupa kidogo....Sio.
Mpwayungu Vilage ! Umeona mwalimu mwenzio kaula huko Kigoma atakuwa analipwa 10 kwa mwaka sijui mwezi!!!!@Sasa unawaza ukoo
Wakati haujatoka
Nimewaza na naona itakuwa ngumu sana kutobadilisha lifestyle....maana ntajikuta watu wote wa karibu kuanzia wafanyakazi wenzangu ba wengine wa chini yangu wanamiliki magari makali halafu mimi ndo niwe naenda kazini na baiskeli?Mbona hapo tu ushauaga umasikini.. jitulize, usibadili maisha yako, kuwa na nidhmu ya fedha.. wekeza pesa yako. Kama ni mijengo ya kupangisha ganya hivyo, nunua sehemu ambazo nyumba/vyumba kupangisha bei yake nzuri, jenga, atlest kila miezi 10 unatoa mjengo mmoja mkali...
5 Years initially with possible extentionHizo kazi huwa ni za mkataba, mkataba wako ni wa muda gani?
ThanksPimbi wewe
Its just my AltruismSasa unawaza ukoo
Wakati haujatoka
Nyumba kali 4!!? ya vyumba vingapi ni appartments?? Huwezi.. Ukitoa moja kila mwezi unabaki na 9.Nimewaza na naona itakuwa ngumu sana kutobadilisha lifestyle....maana ntajikuta watu wote wa karibu kuanzia wafanyakazi wenzangu ba wengine wa chini yangu wanamiliki magari makali halafu mimi ndo niwe naenda kazini na baiskeli?
Sema ntajitahidi sana kutumia only 1M kwa mwezi na nyingine kuinvest.
Kwa mwaka siwezi kutoa nyumba kali 4?
Appartments ndogo tu.Nyumba kali 4!!? ya vyumba vingapi ni appartments?? Huwezi.. Ukitoa moja kila mwezi unabaki na 9.
Na sijasema ujinyime saana, hapana, Pata mahitaji ya msingi tu, mengine vumilia kukamilisha ndoto. Sasa wenzako kazini kitambo, kwakuwa ana range ya 2020 nawe unataka kuvuta hiyo? Ishi vizuri, lala pazuri, kula vizuri, vaa vizuri inatosha.
Million 10?Naombeni ushauri jamani,
Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yaani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kanisani.
Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.
Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini. Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.