Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Mtoa mada ni kweli Msimbishie,
Mi mwenyewe nimeacha kwenye hio NGO ndio akapata yeye baada ya kutosheka na hizo pesa, na mshahara unaongezeka kila mwezi....
Mpk wakanitumia msg mshara ni mkubwa niwe nachukulia BOT kama mwenzangu Raisi.
 
Naombeni ushauri jaman.
Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kansan.

Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.

Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini, Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.
kansan ndo nini?
mr.alhamdullilah!!!
 
Ni swala la muda tu' kama kazi haita ota mbawa basi hata ukiipata hiyo ajira hautadumu(utapunguzwa)

Inaonekana hauna utulivu kbs na pengine Kila ndgu ushamtangazia kama sio Kila mtu hapo mtaani kwako. Sasa utakomeshwa
 
We jidanganye. Kesho, utakuja hapa ukiomba nauli. Hapa bila shaka unatafuta kiki
 
Ni swala la muda tu' kama kazi haita ota mbawa basi hata ukiipata hiyo ajira hautadumu(utapunguzwa)

Inaonekana hauna utulivu kbs na pengine Kila ndgu ushamtangazia kama sio Kila mtu hapo mtaani kwako. Sasa utakomeshwa
Kwanin unafikiri hivi? Kwakuwa nimepost huku?
Nimepost huku kwakuwa hamna mtu anayenijua.
Watu wanaonijua wengi nimewaambia nimepata kazi ya laki4 kule kigoma
 
Back
Top Bottom