Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Yes hapa ndipo nataka hoja. Namsubiri aje kujibu.
ila nachojua kifupi hiyo 2m ni uhakikaz huku kwingine 'kwenye mzunguko' kuna risks nyingi kuasi kwamba unaweza kuipoteza hata hiyo million 10
Mtu anayeanza maisha hawezi kwenda kuweka Hela UTT ,Yaani hujaonja hata hustle Moja unaenda kuweka pesa bank labda km umezaliwa familia za mboga nne.

Wakati naanza kazi Kuna wenzangu hawakutaka kutoa jasho wakiamini wataanza mapambano baadae wanajutia sasa. Unapoanza kazi dili na mambo matatu tu uchague lipi uanze nalo
1.ujenzi
2.Biashara
3.Kilimo na ufugaji.

Ukipeleka Hela UTT Utakuwa Maskini tu Pesa inatunziwa kwenye Assets aka Vitega uchumi. Ajira ikibuma utarudi kukaa kwako ukiwa na Amani .
 
Na wewe ni MUONGO,Mashirika yanayolipa vizuri Kigoma ni CWS(Church World Service,IOM na WFP kisha UNHCR,naongea kutokana na uzoefu nilionao maana Wafanyakazi wote wa Mashirika tunajuana,tunakula na kunywa pamoja hapa MAKERE karibu na Kambi ya Wakimbizi Nyarugusu
Na wewe muanzisha UZI kama ni kweli karibu MAKERE,nitakuwa mwenyeji wako,njoo PM
Naona una I'd mbili, hongera
 
Back
Top Bottom