Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Asante, lakini madam kuna watu hawafanyi vyote hivyo lakini bado ni masikini.
Na kuna watu wanafanya vyote hivyo na bado wanazidi kutajirika mfano Diamond.

Unaweza kunisaidia labda mbinu gani uislam unafundisha katika uwekezaji au biashara ili kumfanya mtu kuwa tajiri?

Maana naona ni kweli waarabu wako vizuri kwenye biashara
Kuna kutajirika kwa kuuza utu wako kwa Shetani na kuna kutajirika kwa kuwa na furaha ya moyoni, amani na utulivu wa roho yako (felicity).

. Usione mapicha picha tu ukafikiri kina Diamond wana raha moyoni.
 
Mimi madam kwa jinsi ninavyouchukia umasikini ninachotaka ni kutajirika tu.
Hayo mengine sijali
 
Wekeza UTT Amis, nunua Bonds kwenye banks nk
Acha zako wewe ,,Huwa mnaipamba sana UTT ,Maskini kuweka pesa UTT ni ulofa. Nichukue 10m halafu niweke huko halafu mwisho wa mwaka nipatie faida 2m ni utoto ...
Wekeza kwenye biashara ya mzunguko ,wekeza wenye long-term projects ie kilimo ukishindwa Jenga ...
 
Yes hapa ndipo nataka hoja. Namsubiri aje kujibu.
ila nachojua kifupi hiyo 2m ni uhakikaz huku kwingine 'kwenye mzunguko' kuna risks nyingi kuasi kwamba unaweza kuipoteza hata hiyo million 10
 
Hao wazungu kutoka UN waliopo pale kambi ya ukimbizi nyarugusu wanalipwa $4500 Kwa mwezi Sasa wewe ni NGO gani kigoma ikulipe million kumi Kwa mwezi? Labda ya wachawi na mizimu

Why not? Kuna mtu namfahamu, mtanzania pure, analipwa zaidi ya $10,000 kwa mwezi
Mshahara tu huo.
Inawezekana sana sio lazima wazungu ndo wawe zaidi all the time
 
Hiyo pesa uliyoandika hapo $4500 ukibadilisha kuwa Tsh ni zaidi ya 10million. Sasa sijajua unapinga nini
Ninachopinga ni hiki : Kwa mkoa WA kigoma watu pekee wanaolipwa pesa kubwa kama ya mtoa uzi ni wazungu kutoka UN waliopo kambi ya wakimbizi nje ya hapo hakuna NGO inayotoa malipo zaidi ya million tano Kwa wazawa
 
Back
Top Bottom