ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mkuu umepata mkopo wa hazina Nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kazi ya million kumi kenge wewe tena huna hata uzoefu wazungu gani hao wakulipe pesa ndefu hivyo na kwa skills gani ulizonazo.
Basi fuga kukuHizi zipoje? Naomba maelezo kidogo.
Zinafaida gani dhidi ya kuwekeza katika kujenga nyumba za kupangisha? Ndilo lilikuwa wazo langu
Hii nimeiweka kwenye droo kwanza.Nyumba Inaongezeka thamani daily huku unakula Kodi,ni dhamana ya kukopea ili ufanye biashara,pili unaweza itia sokoni ukapata mtaji baada ya mkataba kuisha.
Kama huna mda wa kusimamia sikushauri kufanya biashara,kazi za wazungu Huwa zipo bize sana plus ma safari kibao semina kibao,mbongo,ndugu lazima akupige tu.
Nomeomba msaada tu mkuu...natafuta biashara ya uhakika yenye low risk.Basi fuga kuku
Ndio upi huo?Mkuu umepata mkopo wa hazina Nini
wewe umekaa kututest nyuklia zetu vichwani mwetu, kuna mabichwa mitambo mizima na mibovu, ila kwa kuwa unachukua vichwa vibovu uviweke kwenye maboya, tupa kule na hawa!Utajiri wa imani au utajiri wa fedha?
mkiandikaga upuuzi km huu mnapata malipo yoyote? Mtu mzima mwenye akili zako utaandikaje utumbo km huu, hizi ni dharau dogo uwe na adabuNaombeni ushauri jaman.
Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kansan.
Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.
Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini, Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.
Umeandika nondo ngumu sana mpaka nimeshindwa kuelewa.wewe umekaa kututest nyuklia zetu vichwani mwetu, kuna mabichwa mitambo mizima na mibovu, ila kwa kuwa unachukua vichwa vibivu uviweke kwenye maboya, tupa kule na hawa!
Samahani sana mkuu kama nimekukwaza. Naomba nikusaidie tafadhali, kitu gani haujaelewa?mkiandikaga upuuzi km huu mnapata malipo yoyote? Mtu mzima mwenye akili zako utaandikaje utumbo km huu, hizi ni dharau dogo uwe na adabu
Kwanza kabisa katika Uislam utatakiwa kuwachana na pombe, kamari, uasherati na uzinzi. Vyote hivyo ni haramu.Okay,nielezee kidogo hiyo nidhamu nitakayoipata kwenye uislam na itanisaidiaje kuutoroka umasikinì.
Keep in mind,kuna masikini wengi tu wenye nidhamu
Asante, lakini madam kuna watu hawafanyi vyote hivyo lakini bado ni masikini.Kwanza kabisa katika Uislam utatakiwa kuwachana na pombe, kamari, uasherati na uzinzi. Vyote hivyo ni haramu.
Hivyo ndivyo vichocheo vikubwa vya umasikini.
Ukifika Kigoma karibu niwe mwenyeji wako tupate na muda wa kushauriana kuhusu Investment.Naombeni ushauri jaman.
Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kansan.
Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.
Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini, Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.
Asante,hii hapanaKaribu huku , tumeshapata nusu ada tayari, wataenda chuo tu
Asante,niandalie migebuka tu.Ukifika Kigoma karibu niwe mwenyeji wako tupate na muda wa kushauriana kuhusu Investment.
AsanteKama kweli hongera
Ndiyo maana ninapanga niwekeze kwa nguvu hata nikifukuzwa niwe tayari nimeshakimbia umasikini mileleKazi ushapata Bado kufukuzwa tu Kwa ujinga wako mwenyewe