She Quoted you
JF-Expert Member
- Oct 19, 2020
- 687
- 1,184
- Thread starter
- #81
Yes mshahara unalipwa kulingana na skills ulizonazo na gain unayoinufaisha kampuni/organisation. Na wala sio taaluma yako kwenye makaratasi.Why not? Kuna mtu namfahamu, mtanzania pure, analipwa zaidi ya $10,000 kwa mwezi
Mshahara tu huo.
Inawezekana sana sio lazima wazungu ndo wawe zaidi all the time
Ni concept rahisi sana lakini inatusumbua wabongo wengi.