Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Jibu simple tu na liwe msaada kwa watu wote...

Kama unapata fedha usiyokuwa na mpango nayo, hifadhi hadi utapokuwa na plan A to Z, uzuri kwa sasa kuna mifuko kama UTT n.k...

Ukiwa na pesa Z, basi invest ( Z × 0.4 au Z x 0.3), jinsi pesa Z inavyokuwa nyingi ndivyo utavyoweza fanya biashara kubwa zaidi...
 
Mbona una hasira sana mwalimu Mpwayungu?
Lazima akasirike, mwalimu mafao yake ni million 10 wakati watu wanalipwa kwa mwezi.
Wakati yeye ndiye anafanya kazi kubwa ya kuelimisha jamii kutokea watu wasiojua kusoma na kuandika mpaka kuwa madaktar au mainjinia.

Kiukweli serikali inabidi iwaangalie sana walimu.
Walimu nao wajitambue waache kuwa vibaraka wa Ccm bali waungane kutetea haki zao
 
Kwahiyo mondi hana raha???
Machoni kwa wengine siyo ndani ya moyo wake. Superficial not felicity.
Bibi kwahiyo aanze kusali kiarabu na jina achukue la kiarabu....Uafrika aukane????
Hapana, jina siyo lazima kama alilonalo siyo kero kwa binaadam wengine.


Kwanza akiri kwa kushahadia, Kusali mwanzoni wakati anajifunza atakuwa anasali nyuma ya imamu. Simpo.

Tena hata wewe jaribu kufatisha wanavyosali Waislam, raha utayojisikia moyoni, basi hautaacha.
 
Naombeni ushauri jaman.
Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kansan.

Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.

Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini, Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.
Weka uthibitisho wa kipande cha mkataba sehemu ya mshahara jike stupa wewe
 
Mkuu kuna muda ukifikiria sana utajiri ndio njia nyepesi zaidi ya kuingia kwenye umasikini. We waza kufanya vitu in a right way. Utajiri just utakuja wenyewe tu coz Utajiri ni result so deal na process iliyo bora.

Kosa unalolifanya ni kuelekeza sana akili yako kwenye result badala ya how the process should be well executed. I hope umenielewa
 
Mkuu kuna muda ukifikiria sana utajiri ndio njia nyepesi zaidi ya kuingia kwenye umasikini. We waza kufanya vitu in a right way. Utajiri just utakuja wenyewe tu coz Utajiri ni result so deal na process iliyo bora.

Kosa unalolifanya ni kuelekeza sana akili yako kwenye result badala ya how the process should be well executed. I hope umenielewa
Got you...ndiomaana nimejikita zaidi kuomba msaada wa process zipi nizifanye au kuwekeza kwazo ili niwe kwenye njia nzuri ya kuutoroka umasikin
 
Back
Top Bottom