Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sina busala ila Busara ninazo teleUlishawahi kuona wapi mtu mwenye busala anataka ushauri kwenye mitandao?
Mitandao ndo Kuna majibu sahihi kwa sababu Pana watu Wana uzoefu mbalimbali na maisha yaani ups na downUlishawahi kuona wapi mtu mwenye busala anataka ushauri kwenye mitandao?
AsanteHongera yako asee
Sina hela hiyoUnunue bandari madam. Ahsante.
Mufti Menki aliwasema ukitaka kuishi kitajiri mtumikie allah kwa uamninifu. Naungana na wewe.Kuwa Muislam.
Mimi ninao, sasa nauliza huyo qmbaye amesema hana ni nani?Hana nani?? Kumbe sio wewe.
Au unaota??
Bunge linaandaa bajeti ya mwakani kwa kutumia forecast ya misaada au mapato wanayotarajia kupata .una taka kupangia matumizi fedha ambayo haipo kweny mifuko yako?
btw wenye salary za 10M sio wakukurupuka kuja kujitangaza mtandaoni kabla hata ya kuripoti kazini
amka dada usije jikojolea hapo unapo ota ndoto za alinacha
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Utajiri wa imani au utajiri wa fedha?Mufti Menki aliwasema ukitaka kuishi kitajiri mtumikie allah kwa uamninifu. Naungana na wewe.
Upo Single?
Duly noted. Na hii ndiyo ilikuwa plan yangu ila hao wadau walionishauri bonds, hisq na UTT and the like wamenishawishi kuachana na nyumba.Chukua ushauri huu muhimu sana utakujenga.
Wekeza kwenye ardhi nje ya hapo ni kilio tu.
Nunua mashamba panda miti, kesho utauza miti utauza viwanja,Jenga nyumba za kupangisha self self achana na nyumba nzima mtihani kumpata mpangaj,Jenga hostel,guest.
Simamia mwenyewe Kama huna mda zijichimbie hizo pesa bank fixed hadi ukipata mda yaani likizo au mkataba ukiisha.
Niambie hapaNjoo pm nikwambie kitu
Kama ujatembea usipende kuropoka milion 10 mbona ni mshahara wa kawaida tu kampuni za njeHakuna kazi ya million kumi kenge wewe tena huna hata uzoefu wazungu gani hao wakulipe pesa ndefu hivyo na kwa skills gani ulizonazo.
Pm sina bundleHapa sina bundle
Njoo pm
Nimeshtuka kidogo hata mimi. Yaani anafanya kazi gani hadi apewe huo mzigoHao wazungu kutoka UN waliopo pale kambi ya ukimbizi nyarugusu wanalipwa $4500 Kwa mwezi Sasa wewe ni NGO gani kigoma ikulipe million kumi Kwa mwezi? Labda ya wachawi na mizimu
Nyumba Inaongezeka thamani daily huku unakula Kodi,ni dhamana ya kukopea ili ufanye biashara,pili unaweza itia sokoni ukapata mtaji baada ya mkataba kuisha.Duly noted. Na hii ndiyo ilikuwa plan yangu ila hao wadau walionishauri bonds, hisq na UTT and the like wamenishawishi kuachana na nyumba.
Au mkuu unaonaje?
Ni heri ungeniuliza ni skills gani nilizodemonstrate kwa hawa wazungu kuwashawishi kunipa hii kazi. Huenda ingekusaidia na wewe kunoa skill zako.Hakuna kazi ya million kumi kenge wewe tena huna hata uzoefu wazungu gani hao wakulipe pesa ndefu hivyo na kwa skills gani ulizonazo.