She Quoted you
JF-Expert Member
- Oct 19, 2020
- 687
- 1,184
- Thread starter
- #141
CheersNi TATEPA product hiyo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CheersNi TATEPA product hiyo mkuu
Yes kama ilivyo kwa watanzania wengiKweli umetoka familia ya uchumi wa chini.ova
Kuna NGOs nazifahamu hapo Kigoma walipa 10M and more...Hao wazungu kutoka UN waliopo pale kambi ya ukimbizi nyarugusu wanalipwa $4500 Kwa mwezi Sasa wewe ni NGO gani kigoma ikulipe million kumi Kwa mwezi? Labda ya wachawi na mizimu
Unawezaje kupata kazi huko?Kuna NGOs nazifahamu hapo Kigoma walipa 10M and more...
kansan ndo nini?Naombeni ushauri jaman.
Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kansan.
Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.
Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini, Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.
Hao wazungu kutoka UN waliopo pale kambi ya ukimbizi nyarugusu wanalipwa $4500 Kwa mwezi Sasa wewe ni NGO gani kigoma ikulipe million kumi Kwa mwezi? Labda ya wachawi na mizimu
We jidanganye. Kesho, utakuja hapa ukiomba nauli. Hapa bila shaka unatafuta kikiNaombeni ushauri jaman.
Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kansan.
Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.
Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini, Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.
Nipe ideas za malengo sasaHata ukilipwa nyingi kama huna malengo ni bure
Kwanin unafikiri hivi? Kwakuwa nimepost huku?Ni swala la muda tu' kama kazi haita ota mbawa basi hata ukiipata hiyo ajira hautadumu(utapunguzwa)
Inaonekana hauna utulivu kbs na pengine Kila ndgu ushamtangazia kama sio Kila mtu hapo mtaani kwako. Sasa utakomeshwa
Kiki ya nini? Sina hata pikipikiWe jidanganye. Kesho, utakuja hapa ukiomba nauli. Hapa bila shaka unatafuta kiki
Negotiations comrade. Learn the art of negotiating and selling yourself.Tena from Jobless!!
Kansan au kanisa ni kwenye msikiti wa wakristo.kansan ndo nini?
mr.alhamdullilah!!!
AmenUlichoplan kukifanya na ukifanye.
Sio lazima kuaminiKigoma! 10M! Hakuna kazi ya kulipwa hiyo pesa.
TakbirItakujengea nidhamu ya maisha.
Uwe Muuislam wa kuufata Uislam na mafundisho yake, siyo kuwa Muislam jina.