makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Haiwezekani.. milioni 20 haijengi appartment ya vyumba vi4 self.. hapo huna kiwanja.. na hata ukiwa na kiwanja bado jiyo haijengi na kumaliza.Appartments ndogo tu.
Yani inakuwa na vyumba vi4 vyote self na jiko la wote na fensi kwa nje.
Yani isizidi 20M. Halafu
Kila chumba napangisha laki na nusu.
Itawezekana?
Maana 20M ×4 ni 80M
Ambayo naipata kwa 9 months