Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Ninachopinga ni hiki : Kwa mkoa WA kigoma watu pekee wanaolipwa pesa kubwa kama ya mtoa uzi ni wazungu kutoka UN waliopo kambi ya wakimbizi nje ya hapo hakuna NGO inayotoa malipo zaidi ya million tano Kwa wazawa

Ndugu yangu unaongea usichofahamu
Naomba niishie hapo
 
Mkuu,

Location ya Waarabu huko
Ujiji?
Vizia hapo Ujiji watoto wa waarabu wa matajiri wa Mabasi....Ulizia wanapoishi Matajiri wa Saratoga, Adventure na NBS. Hao wote ni waarabu na ni ndugu moja...Kuna mabinti wazuri wa kutosha hapo, hata majirani zao wengi wa mitaa hiyo ni waarabu pia....
 
Hao wazungu kutoka UN waliopo pale kambi ya ukimbizi nyarugusu wanalipwa $4500 Kwa mwezi Sasa wewe ni NGO gani kigoma ikulipe million kumi Kwa mwezi? Labda ya wachawi na mizimu
Tatizo walimu mnadhani kila sehemu watu wana shida kama nyie.
Namjua mtu kigoma analipwa 12M na ni black kuliko nywele zake. Akitembea uchi usiku mnaona nywele tu zinatembea
 
Naombeni ushauri jamani,

Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yaani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kanisani.

Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.

Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini. Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.
Ushaur wa kwanza wa msingi usimwambie mtu yeyote umepata kazi. Wazazi wakikuuliza waambie unaenda kigoma kujaribu maisha. Ukifika huko vunja line zote za simu nunua mpya. Wasiliana na wazazi Mara moja moja halafu wakikuuliza chochote waambie bado unapambana mambo hayajatengamaa. Kaa kwa style hiyo miaka mitano. Mimi nilipotea miaka 10.Bana matumizi kwa kadiri uwezavyo wekeza UTT na punguza kuwasiliana na watu wanaokujua hasa home kabisa. Ndani ya miaka mitano wewe ni binadamu mwingine. Usipopata hela niite mbwa nimekaa palee. Usisahau kumuomba Mungu akuongoze na kukuepusha na majanga.
 
JIANDAE KUITWA MAJINA MABAYA YOTE NA WANAKOO.. FREEMANSON. UNAJISIKIA, WENYE HELA NA WEWE UNAJIITA UNAHELA, UNAWATOA KAFARA.. NA MENGINE MENGIIII
 
Ushaur wa kwanza wa msingi usimwambie mtu yeyote umepata kazi. Wazazi wakikuuliza waambie unaenda kigoma kujaribu maisha. Ukifika huko vunja line zote za simu nunua mpya. Wasiliana na wazazi Mara moja moja halafu wakikuuliza chochote waambie bado unapambana mambo hayajatengamaa. Kaa kwa style hiyo miaka mitano. Mimi nilipotea miaka 10.Bana matumizi kwa kadiri uwezavyo wekeza UTT na punguza kuwasiliana na watu wanaokujua hasa home kabisa. Ndani ya miaka mitano wewe ni binadamu mwingine. Usipopata hela niite mbwa nimekaa palee. Usisahau kumuomba Mungu akuongoze na kukuepusha na majanga.
I cant do this to my mom. Aliyenilea kwa jasho na damu..aliyejinyima ili mimi nile. Baba yangu kAnisomesha chekecheà mpk chuo,, nina mpango wa kwenda benk na kuweka kila mshahara wangu unapoingia laki5 kwa baba laki5 kwamama.
We only live once.
 
Jinga wewe Yani ufanye huo ujinga Kwa baba na mama una kichaa wewe
 
Nashukuru kaka ila nakuapia fanya tafiti vijana wengi wanafeli coz mipango yao mingi wanawashirikisha wazazi,ndugu na jamaa na marafiki.
Ukifuatilia maisha mengi ya vijana wakichagga hasa wale wa rika la miaka 45 kwenda juu walifanikiwa sana coz watu wengi hawakujua shughuli zao walijitahd kuwa wao sio wazazi au jamaa zao. Jitahd kuwa wewe utakwenda mbali coz kila utakaemshirikisha unachokiona kwakuwa alishafeli hilo eneo atakukatisha tamaa. trust me.
Ngoja nikupe mfano. Umezaliwa kwenye umasikin ukafanikiwa kupiga hela ukamueleza baba au mama kila unachofanya kinachotokea kila wakikaa na washikaji zao wawe ni wamama majiran au wababa majiran atakua anaelezea kila unachofanya kwa kujivunia wewe. So kinachotokea ni kuwa hawa watu sio wote watafurahia hizo stor coz unakuta kuna watoto wao ulisoma nao hawana kitu. So unaamsha maroho ya wivu uchawi nk. Hawez kujizuia kuelezea mafanikio yako kwa watu. Hata marafiki so mafanikio yoyote dunian ni siri na ndio nguvu zako. Hata huyu Mungu tunaemuabudu yupo sirini ndio nguvu zake. Vitu ndio vinatakiwa vikutambulishe sio wewe ujitambulishe coz hauwajibiki kwa yeyote zaid ya familia yako huku dunian. Mimi anaejua mambo yangu kwa upana wake ni mke wangu tu na watoto hawa wakubwa na hiyo ni baada ya kukaa nae miaka 10 nikamsoma. Ukiwaeleza watu mapato yako uwe tayari kuwasaidia pindi wakihtaji msaada coz washajua zipo.
 
Hii comment naihifadhi kwenye maktaba yangu for further reference
 
I cant do this to my mom. Aliyenilea kwa jasho na damu..aliyejinyima ili mimi nile. Baba yangu kAnisomesha chekecheà mpk chuo,, nina mpango wa kwenda benk na kuweka kila mshahara wangu unapoingia laki5 kwa baba laki5 kwamama.
We only live once.
Labda nikusaidie kitu kumpa mtu hela sio kumsaidia kiivyo wakati mwingine ni kumfanya aahirishe kufikiri pale alipotakiwa atafute jibu so atakugeuza wewe ndio jibu la maisha yake. Na ndio maana Bible inasema tuwe na kiasi na kila kitu. Cjakuambia usimpe mzazi hela ninachosema usifungulie bomba mpaka mwisho coz mwisho wake ni lawama sio shukran na ndio maana watu wanakuambia ukifuatilia watu waliowaumiza sana ni wale waliowasaidia sana. Huu mfumo wa kutafuta hela kwa hiz nchi zetu ni kama kujitoa mhanga kwa future generations yaan unaamua kuanzia Mimi huu uzao ujao utakuwa middle class au high class kwa viwango vyote so lazima kuwepo mtu wa kujitoa mhanga ili kujenga hilo daraja. Bila hivyo utabaki kuwahesabu matajiri mjini tu. Mzazi akiumwa anatibiwa na hela ya kula unamtumia ila sio kiasi cha kumfanya afikiri bila wewe hakuna kinachofanyika. Pambania familia yako kuliko chochote lakin kwa wazazi fanya yale yote ya msingi chakula tiba na hela kidogo. Lakin mwanzo lazima wajue uko mwanzo usifanye Mambo ya omega ukiwa Alfa.
 
Back
Top Bottom