Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Hii comment naihifadhi kwenye maktaba yangu for further reference
Poa Chief. Mi nina experience aisee ni watu wachache wanafurahia mafanikio yako mkuu. Zaman mi katika kutembea kwangu humu nchini nilikuwa najiuliza kwanini haya makabila mengine hawajengi kwao na mjin wapo vizur? Nikaja kugundua wivu husuda na uchawi so wengi waliotoka walizamia mijin jumla anaficha siri za mafanikio yake harud kwao kujenga au kutembelea Christmas atalogwa so kule kuficha siri zao wameepuka na mengi. So vijana jifunzen kutunza Siri na kubana matumiz na kumuomba Mungu. Muda mfupi sana miaka mitano tu utaona muujiza. Shida ukiishi kwa group au ukikatia tamaa sijui nitakufa kesho hiyo haiondoi ukweli kuwa harakat zisimame unatakiwa upambane tena na tena mpaka upate majibu. Bible inasema. Mungu anatuambia amtafutae kwa bidii atamuona so kila kitu ukikifanya kwa bidii lazima uje na jibu tofauti. Huna muda wa kupoteza wala umri maalumu wa kutafuta umri wowote ukiamua kuanza unatoka shida ipo kwenye commentment na consistency wengi tunafeli tunabaki kulaumu historia.
 
Naombeni ushauri jamani,

Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yaani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kanisani.

Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.

Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini. Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.
Kwahiyo unataka kwenda kuwaihia hiyo NGO? Wewe karipoti kazini , pata mshahara wako upangilie, kwani lzm kuja kuomba ushauri huku? Acha ulimbukeni.

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Poa Chief. Mi nina experience aisee ni watu wachache wanafurahia mafanikio yako mkuu. Zaman mi katika kutembea kwangu humu nchini nilikuwa najiuliza kwanini haya makabila mengine hawajengi kwao na mjin wapo vizur? Nikaja kugundua wivu husuda na uchawi so wengi waliotoka walizamia mijin jumla anaficha siri za mafanikio yake harud kwao kujenga au kutembelea Christmas atalogwa so kule kuficha siri zao wameepuka na mengi. So vijana jifunzen kutunza Siri na kubana matumiz na kumuomba Mungu. Muda mfupi sana miaka mitano tu utaona muujiza. Shida ukiishi kwa group au ukikatia tamaa sijui nitakufa kesho hiyo haiondoi ukweli kuwa harakat zisimame unatakiwa upambane tena na tena mpaka upate majibu. Bible inasema. Mungu anatuambia amtafutae kwa bidii atamuona so kila kitu ukikifanya kwa bidii lazima uje na jibu tofauti. Huna muda wa kupoteza wala umri maalumu wa kutafuta umri wowote ukiamua kuanza unatoka shida ipo kwenye commentment na consistency wengi tunafeli tunabaki kulaumu historia.
Nimekuelewa sana chifu hapa[emoji3578][emoji3578]
 
Naombeni ushauri jamani,

Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yaani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kanisani.

Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.

Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini. Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.
Nenda Martha wellness kwanza ukapunguze stress baada ya hapo AKILI itakuja tu.
 
Focus na kazi kwanza,acha hiyo pesa ikae kwa account wanayokuwekea

wakati huu n wakati wako wakuwaza kufanya kazi zaidi na kwa viwango vyajuu

ili muajiri wako akuongeze zaidi,usiridhike na mshahara huo kwa kuanza upangia matumizi

bado una safari refu na mwajiri wako,mtu pekee ulietakiwa mfungulia Uzi na sio Mshahara anaokulipa

ulipaswa uulize nini ufanye bora zaidi kazini kwako,nk yani ki ufupi akili yako iwaze namna/njia bora za kufanya unachoenda kukfanya.

10m kwa mwajiri wako ni pesa ndogo sana ndio mana kakupa kama mshahara wa kuanzia,Fungua Puzzle uweze pata zile high salary anazowapa wafanyakazi zingine.Achana na mawazo na hiyo 10m kwasasa. Focus na KAZI.
 
Naombeni ushauri jamani,

Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yaani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kanisani.

Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.

Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini. Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.
Mara kanisani mara alhamdulilah

Chai
 
Back
Top Bottom