Cheusi Mangala
Member
- Sep 6, 2016
- 26
- 62
Mkuu bora ubaki tu kuliko kuwekamarinda yako rehani.Habari ndugu zangu, Kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza April mwaka huu.. Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la.. ni shirika lililopo bara kule Zanzibar Wana branch yao.. changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
1.Kulazimishwa kufunga hata kama sio mhusikaHabari ndugu zangu, Kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza April mwaka huu.. Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la.. ni shirika lililopo bara kule Zanzibar Wana branch yao.. changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
Mimi mwanaume, iyo tako sunna unamaanisha mashoga ni wengi?1.Kulazimishwa kufunga hata kama sio mhusika
2. Kukamatwa na binti wa Kizenji na kusilimishwa kwa nguvu au upelekwe kiinua miguu kutumikia kifungo (kama u mwanaume
3. Kitimoto haramu ila trako suna
4. Vyakula vina viungo viiiiingi visivyo na maana yoyoye ili mradi tu ujisikie uko Oman
Kwani Kama sio shoga watakufanya nyuma.?Mkuu bora ubaki tu kuliko kuwekamarinda yako rehani.
Kama ni Shirika linaloitwa GOOD NEIGHBOURS jiandae kwenda kuhamasisha USHOGA huko Zanzibar,ndio Ajenda yaoHabari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza April mwaka huu.
Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.
Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
Infact maslahi ndio yananishawishi Sana hapa. Taasisi ninayofanyia kwa sasa sijaridhika Sana na malipo yaoHapa utaambiwa mengi ila we jilipue tu Tanzania hii unaweza ishi popote, nilichosikia wana tabia za kufuatiliana sana ila kwa kuwa ni kawaida ya maisha ya uswazi huku Bongo we kasake maslahi
5.kama ni masai hutaruhusiwa kutembea na silaha zako 😀 😀1.Kulazimishwa kufunga hata kama sio mhusika
2. Kukamatwa na binti wa Kizenji na kusilimishwa kwa nguvu au upelekwe kiinua miguu kutumikia kifungo (kama u mwanaume
3. Kitimoto haramu ila trako suna
4. Vyakula vina viungo viiiiingi visivyo na maana yoyoye ili mradi tu ujisikie uko Oman
kama kweli kapige kaziHabari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu.
Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.
Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
ni vizuri zaid ukaenda kwanza kazini kisha utakutana nazo zikiwa halisi na ndipo sasa utajifunza na kujua namna bora zaid za kukabiliana nazo 🐒Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu.
Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.
Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
Mkuu bora ubaki tu kuliko kuwekamarinda yako rehani.
Sio hilo kakaKama ni Shirika linaloitwa GOOD NEIGHBOURS jiandae kwenda kuhamasisha USHOGA huko Zanzibar,ndio Ajenda yao
Ameandika mtumishi1.Kulazimishwa kufunga hata kama sio mhusika
2. Kukamatwa na binti wa Kizenji na kusilimishwa kwa nguvu au upelekwe kiinua miguu kutumikia kifungo (kama u mwanaume
3. Kitimoto haramu ila trako suna
4. Vyakula vina viungo viiiiingi visivyo na maana yoyoye ili mradi tu ujisikie uko Oman
Changamoto iliyopo Watanganyika hatutakiwi kule jamaa wabaguzi wao tu ndiyo wanajiona wana haki ya kuja Tanganyika lakini sio sisi kwenda kwao.Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu.
Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.
Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
nda kapige kazi usiogope. wana uswahili kidogo na udini. Ila jitahidi upate nyumba ya kupanga. Kule Lodge/Hotel zao ghali sana,Infact maslahi ndio yananishawishi Sana hapa. Taasisi ninayofanyia kwa sasa sijaridhika Sana na malipo yao