Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
naamini mashoga ndio itakuwa changamoto yako ya kwanza. mengine yanavumilika, kama kuitwa chogo, mtu mwenyewe anayekuita chogo amechoka hana hata hela mfukoni anashindia tu chapati na maharagwe.Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu.
Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.
Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?