Nimepata Kazi Zanzibar. Zipi changamoto na faida wa kuishi huko?

Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu.

Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.

Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
naamini mashoga ndio itakuwa changamoto yako ya kwanza. mengine yanavumilika, kama kuitwa chogo, mtu mwenyewe anayekuita chogo amechoka hana hata hela mfukoni anashindia tu chapati na maharagwe.
 
Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu.

Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.

Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
Nyumba bei juu sana, vyakula gharama sana, Binti yangu yupo huko anaueleza acha kbs.
 
Kitimoto haramu ila ipo hadi kwenye hotel za kitalii wanaitoa wapi wale?
 
Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu.

Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.

Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
Usile hadharani kipindi cha Ramadhan watakuchapa viboko askari wa kiislamu.
Iran binti hakufunika kichwa waislamu wakamuua
 
Mimi naishi Zanzibar mwaka wa 16 huu na metokea bara ,maneno unayooambiwa ni uongo ,changamoto kubwa ni gharama za maisha ziko juu kwa sababu pesa inapatikana kirahisi na ya kutosha ,kama ukihitaji msaada wowote mambie .
Pesa inapatikana kirahisi?
Zanzibar ingekuwa kama Dubai kama pesa zinapatikana kirahisi๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Mkuu Wengi humu wameongea Pumba tu,

Ya kuzingatia.

ChaKula ni ghali sana, kuanzia matunda, nafaka, mboga mboga.
Mwezi wa Ramadhani usile hadharani mda wa mchana.
Usijiingizie kwenye harakati za CCM utatengeneza bifu zito na wazawa.

mengine nitaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ