Chokochoko
JF-Expert Member
- Oct 15, 2011
- 438
- 184
embu jaribu kujipaka metronidazole gel kwenye papuchii, ila sina hakika sana ngoja madokta wajeMadokta nisaidieni maana ni ghafla sana nilianza na kuwashwa sana ikafata uchafu mweupe nikajua ni fangasi maana natumia choo cha public sana, nashanga kimeota kijikipele kama cha homa hapa juu kabisa kwenye kimisi, ndio tuseme nimepata magonjwa ya zinaa? sijawahi toka nje ya ndoa ni mume wangu tuu na yeye sio mgonjwa, nisaidieni jamani hii nini tena naninywe dawa gani ili nipone haraka nimekosa raha ghafla.
Mh hiyo sio herpes zoster...sijuiiii...nenda kwa docta
ok ok nitumie dawa gani mpenzi?sio lazima unywe uliza utumie dawa gani?
embu jaribu kujipaka metronidazole gel kwenye papuchii, ila sina hakika sana ngoja madokta waje
sijamwambia bado
mhh haya nasubiri ntafanyaje sasaPole dada utapona tu usiwe na haraka ya majibu madoctor wetu wameshaliona tatizo lako hivyo wanatafuta vielelezo muhimu au viambata ili kukusaidia,subiri tu!
A chancre (/ˈʃæŋkər/ SHANG-kər)[SUP][1][/SUP] is a painless ulceration (sore) most commonly formed during the primary stage of syphilis. This infectious lesion forms approximately 21 days after the initial exposure to Treponema pallidum, the gram-negative spirochaete bacterium yielding syphilis. Chancres transmit the sexually transmissible disease of syphilis through direct physical contact. These ulcers usually form on or around the anus, mouth, penis, and vagina. Chancres may diminish between three to six weeks without the application of medication.
majanga hayo kunywa antibiotics harakamhh nipeni basi mtazamo wenu kabla sijafika hospitali, je huu ni ugonjwa wa zinaa?
Madokta nisaidieni maana ni ghafla sana nilianza na kuwashwa sana ikafata uchafu mweupe nikajua ni fangasi maana natumia choo cha public sana, nashanga kimeota kijikipele kama cha homa hapa juu kabisa kwenye kimisi, ndio tuseme nimepata magonjwa ya zinaa? sijawahi toka nje ya ndoa ni mume wangu tuu na yeye sio mgonjwa, nisaidieni jamani hii nini tena naninywe dawa gani ili nipone haraka nimekosa raha ghafla.
mhh nipeni basi mtazamo wenu kabla sijafika hospitali, je huu ni ugonjwa wa zinaa?