Nimepata kidonda sehemu za siri kinauma sana nitumie dawa gani?

Chokochoko

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2011
Posts
438
Reaction score
184
Madokta nisaidieni maana ni ghafla sana nilianza na kuwashwa sana ikafata uchafu mweupe nikajua ni fangasi maana natumia choo cha public sana, nashanga kimeota kijikipele kama cha homa hapa juu kabisa kwenye kimisi, ndio tuseme nimepata magonjwa ya zinaa? sijawahi toka nje ya ndoa ni mume wangu tuu na yeye sio mgonjwa, nisaidieni jamani hii nini tena naninywe dawa gani ili nipone haraka nimekosa raha ghafla.
 
embu jaribu kujipaka metronidazole gel kwenye papuchii, ila sina hakika sana ngoja madokta waje
 
Mh hiyo sio herpes zoster...sijuiiii...nenda kwa docta
 
ndio ugonjwa gani tena huo jamani au ndio ugonjwa mpya ulioingia huwiii jamani mimi nisaidieni nitumie dawa gani basi ya hiyo herpeszoster
 
Pole dada utapona tu usiwe na haraka ya majibu madoctor wetu wameshaliona tatizo lako hivyo wanatafuta vielelezo muhimu au viambata ili kukusaidia,subiri tu!
 
mhh haya nasubiri ntafanyaje sasa
 
Usitumie dawa bila kupima. Nenda any good hospital omba kuonana na Gynochologist atakucheck na kukushauri sawia nenda na mumeo!!
 
mhh nipeni basi mtazamo wenu kabla sijafika hospitali, je huu ni ugonjwa wa zinaa?
 
Poleeeee usiogope hiyo ni dalili ya Syphilis, wahi hospital ukatibiwe. Usijechelewa pangusa ikapangusa eneo lote tukaukosa utamu bure.
 
hiyo inaitwa "chancre" wahi hospitali mapema, inawezekana una kaswende.
A chancre (/ˈʃæŋkər/ SHANG-kər)[SUP][1][/SUP] is a painless ulceration (sore) most commonly formed during the primary stage of syphilis. This infectious lesion forms approximately 21 days after the initial exposure to Treponema pallidum, the gram-negative spirochaete bacterium yielding syphilis. Chancres transmit the sexually transmissible disease of syphilis through direct physical contact. These ulcers usually form on or around the anus, mouth, penis, and vagina. Chancres may diminish between three to six weeks without the application of medication.
 
usiwe na presha nenda tu hospitali utafanyiwa vipimo utapona
 
Madokta nisaidieni maana ni ghafla sana nilianza na kuwashwa sana ikafata uchafu mweupe nikajua ni fangasi maana natumia choo cha public sana, nashanga kimeota kijikipele kama cha homa hapa juu kabisa kwenye kimisi, ndio tuseme nimepata magonjwa ya zinaa? sijawahi toka nje ya ndoa ni mume wangu tuu na yeye sio mgonjwa, nisaidieni jamani hii nini tena naninywe dawa gani ili nipone haraka nimekosa raha ghafla.

jaman pole mydear,,...usipanik kamuone dr upate tiba utapona tu
 
Mbona unawasiwasi na magonjwa ya zinaa, nenda hospital kaonane na daktari atakupa dawa muafaka. ingekuwa magonjwa ya zinaa dalili zingeanzia kwa mumeo coz wanaume wanaonesha dalili mapema sana compare na wanawake
mhh nipeni basi mtazamo wenu kabla sijafika hospitali, je huu ni ugonjwa wa zinaa?
 
nenda hospitali, usichukue kila kinachowekwa humu kama ushauri

hiyo pussy yako ni muhimu, ukimuona dr. atasaidia kujua kama ni ugonjwa wa zinaa ili na mwenzako atibiwe pia, la sivyo hata ukinywa dawa na yeye anao, utakurudia na utakua na hatari ya kuwa sugu na madawa unayotumia
 
Back
Top Bottom