Nimepata kisonono kizembe sana naomba ushauri

Kama majimaji (usaha) hayatoki tena ushapona. Maliza dozi, usiache
 
Dozi ya kizaman sana alaf nowadays madawa haya feki n mengi sana madokta weng wa kibongo wamekariri hzo dawa but nowadays performance yake n ndogo sana... sku ingne unamwambia mhudum wa afya akupige POWERSAFE 200mls (moja tu) ,azuma za rangi ya pink zpo kwenye kopo la kawaida (3×2) na vidonge 2 tu vya kusafisha njia ya mkojo hapo unakuwa new kabsa mm sio dokta uzoefu tu mjini
 
Bwana ametoa, Bwana ametwaa..!! 😹
 
Ceftriaxone sindio powersafe?
 
Hivyo vipimo vya kununua maabara kujipima vitawaua sana...
Yaani ndio imekuwa fashion, mtu anaamini kabisa akimpima mwenzake basi anajiachia hata condom hatumii..

Mtu akiwa na maambukizi ya karibuni kipimo hakiwezi tambua, kuna watu window period hadi miezi 6.. kipimo hakioni chochote...

Sasa unajichanganya na vipimo vyako...

Vaeni condom wazee, mtapukutika sio poa.. huwezi mpima mtu na hivyo vi antibody test kit ukamumini 100%...
Jiandae kubugia njugu tu.. maana mkiambiwa tumieni condom hamsikii...
 
Wadada wengi siku hizi wameoza magono yakugusa
 
Alafu hizo dawa za kusafisha njia ya mkojo ndio zipi?
 
N bahati mbaya, usimuache huyo demu safari hii ukikutana nae mzamie chumvini huku mkisubiri dawa zizidi kufanya kazi vzr
 
Umechoma sondano siku ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…