Nimepata kisonono kizembe sana naomba ushauri

Mkuu vile vipimo vya kuweka kwenye meno 🀣
 
Kuna jamaa alikuja na picha ya pipe akiomba ushauri, na bahati mbaya sana wadada walianza kusifia dude bada ya kutoa ushauri....🀣
Pole sana mkuu, nenda ukaukate huo mkia wa mbele, utakuja kunishukuru 😜
 
matatizo ya kuwa viboo vya kutolea bikra gozi(kondom) zinapwaya ,na mpaka sasa una asilimia 95 acquired
 
🀣🀣 Bangi hizi, alaf wanaume wapata Gono huwa nibwengi sana sema tu hawajisemi.
 
Kuna jamaa alikuja na picha ya pipe akiomba ushauri, na bahati mbaya sana wadada walianza kusifia dude bada ya kutoa ushauri....🀣
Pole sana mkuu, nenda ukaukate huo mkia wa mbele, utakuja kunishukuru 😜
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜ΆπŸ˜Ά
 
matatizo ya kuwa viboo vya kutolea bikra gozi(kondom) zinapwaya ,na mpaka sasa una asilimia 95 acquired
Sio kila anae pata Gono anapata ngoma usikalili maisha, kwan ni wangapi mpaka sasa walipata Gono na hawajawa Acquired?
 
Maliza dozi bado una inflammation kwenye mirija/ urethra. Wasiliana na doctor ukamilishe dozi ingekua haujatumia dozi hizo ningesugest dawa ambayo huwainatibu haraka kuliko hizo ulizo tumia. πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…