Nimepata kisonono kizembe sana naomba ushauri

Matibabu yalitakiwa kwa wote wawili,
Mkianza tiba mpeane off kidogo kupisha uponyaji, Acheni uroho!!
 
Kisonono ni ugonjwa wa kishenzi sana
 
Aliamua kupona na kukaa kimia, apunguze kutaman jicho sometime
hahahaha shida mlimchamba hadi ikapelekea kupona automatic.

Ila kama alipona aje atupe formula alitumia dawa gan hadi kurecovery? Grau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…