Nimepata mafua makali, homa na udhaifu wa mwili - je, ni corona?

Nimepata mafua makali, homa na udhaifu wa mwili - je, ni corona?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Mie Jidduz, mutu ya watu yamenikuta.

Toka majuzi nimepata mafua ya kutisha. Pua zinawasha na kamasi inatoka utafikiri bomba linavuja.
Macho yanauma, ni mekundu na mchozi ni muda wote. Juzi na kahoma kaanza na kukohoa kohoa na mbavu kubana.

Hili ni balaa. Nimekula antibiotics na kujifukiza na sasa leo kidogo nafuu.

Wajuvi niambieni, siyo corona hii?
 
Back
Top Bottom