proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
mwambie akutumie hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie yeye aje bongoHaya maisha kuna muda yana maswali magumu kama sio kigugumizi miezi kama sita sasa nimedate na manzi raia wa canada ila ana asili ya kenya ndoa yake imefeli 2021 na baada ya talaka kutoka akaamua kuishi mwenyewe na watoto wake wawili sasa toka tumeingia kwenye mahusiano muda mwingi ananisisitiza kwenda kuishi kule na kwa msisitizo hata nikitaka nauli na process za visa zote atafanya yeye anachotaka ni kwamba muda wowote niondoke bongo kuanzia sasa tukaishi wote kule.
kila wakati nikiongea naye hili jambo analisisitiza sana nami nimekuwa mgumu kwenye maamuzi hayo maana nina ajira serikalini na rasilimali kadhaa ikiwemo biashara, kila nikitafakari jambo la kuhama nchi akili inanigomea naona naenda kuanza maisha upya umri wangu ni 34 na jambo linalonipa ukakasi kwamba umri huu bado naweza kwenda kutusua kule au ndio kucheza kamari za maisha?
Huku bongo nina watoto wawili ila mama tofauti na ninawahudumia jambo ambalo hata yeye nimemwambia akalipokea na kunielewa.
naombeni ushauri hata matusi ntayapokea. Shukrani.
Link ya hiyo web tafadhali mkuu.Kuna site niliingia dark web ya kuuza organ za watu na techniques wanazotumia kupata hao watu hakika ungeona huyo dada wala usingemtafuta au kumshobokea kabisa
🤣🤣🤣🤣🙌🏿Next time weka na sahani ya maandazi...
Jichanganye ukawe mtumwa ughaibuni🤓Haya maisha kuna muda yana maswali magumu kama sio kigugumizi miezi kama sita sasa nimedate na manzi raia wa canada ila ana asili ya kenya ndoa yake imefeli 2021 na baada ya talaka kutoka akaamua kuishi mwenyewe na watoto wake wawili sasa toka tumeingia kwenye mahusiano muda mwingi ananisisitiza kwenda kuishi kule na kwa msisitizo hata nikitaka nauli na process za visa zote atafanya yeye anachotaka ni kwamba muda wowote niondoke bongo kuanzia sasa tukaishi wote kule.