Nimepata maono kuwa kiranga atabadilika na kuwa mtume au nabii

Nimepata maono kuwa kiranga atabadilika na kuwa mtume au nabii

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,042
Reaction score
3,095
Ataitwa Pastor Kiranga au nabii kiranga au mtume kiranga.

Atakua mlokole haswa anayenena kwa lugha na atakua anatoa mapepo.

Atahubiri na kueneza neno JF na kwingineko. ataweka hadi spika kwenye mikusanyiko na kuhubiri.

Destiny yake nimeshaiona karibu mtume Kiranga
 
ataitwa Pastor Kiranga au nabii kiranga au mtume kiranga.

atakua mlokole haswa anayenena kwa lugha na atakua anatoa mapepo.

atahubiri na kueneza neno JF na kwingineko. ataweka hadi spika kwenye mikusanyiko na kuhubiri.

destiny yake nimeshaiona karibu mtume Kiranga
Mimi mtume tayari usinidogoshe mkuu.

"There is no God, and Kiranga is his Prophet".
 
Yawezekana huko kanisani kwao umeandaliwa maombi maalumu ya kuokoka mkuu😅
Mkuu,

Mimi kwetu kanisani on both sides.

Baba yake na bibi yangu kajenga Azania Front wamemaliza kujenga mwaka 1903. Hapo German East Africa hata Muingereza hajafika bado. Hapo Dar es salaam nzima watu kama 10,000 tu.

Nimekaa kanisani mpaka nimepigwa na radi na Mchungaji Bundi hapo Azania Front mwaka 1979.

Kwa hivyo ukienda kwetu pande zote ni kanisani, nimeanza kuombewa tangu sijazaliwa.

Hawa waliolijua kanisa juzi hawanitiahi 😂😂😂
 
kiranga huyu huyu au kuna mwingine
awe pastor waumini wote wataishia kuwa na kiranga kama yeye mwenyewe
Kuna kitu kinaitwa "swagger jacking" ndicho kinachotokea hapa.

Yani kuna mtu kakaa kaona "Bwana Misosi nitoke vipiii?"

Kaona hapa nimtaje Kiranga tu nitapata watu.

I should charge him a fee for mentioning my name in vain 😂😂


View: https://youtu.be/MLeP7IeWC9c?si=LPBwMpkaNDEfeBfn
 
kwaiyo Kiranga ni star boy ? ila mapepo ni mabaya sana

Mapepo unayasingizia tu, ubaya unao wewe kuandika uzi wa fitna mpaka rafiki yangu min -me anaanza kunikana kwa hoja za kufikirika 😂😂😂


Umenikumbusha mbali sana wimbo wa mdogo wangu sana Bwana Misosi.

Maana hata si mdogo wangu, mdogo wangu sana.

Kaka yake Bwana Misosi alikuwa rafiki yake na mdogo wangu.
 
🤣🤣ameku miss
katafuta mbinu ya kukuingiza shimoni nawe umejaaaaa
Mimi sina baya.

Hawa wengine unaweza kuta ni wajukuu tayari kwa hiyo naenda nao hivyo hivyo tu 🤠🥸🤓

Unajua katika maisha unatakiwa kujua kuwachukulia watu tofauti kwa namna tofauti, kwa kadiri wanavyojiweka wenyewe.

Sasa huyu mzushi mzushi, kaja kizushi, siwezi kumchukulia serious sana na mimi namchukulia kama mtu wa utani utani tu.

Hatutakiwi kuwa serious muda wote.
 
Back
Top Bottom