Nimepata maono kuwa kiranga atabadilika na kuwa mtume au nabii

Mapepo unayasingizia tu, ubaya unao wewe kuandika uzi wa fitna mpaka rafiki yangu min -me anaanza kunikana kwa hoja za kufikirika 😂😂😂

Umenikumbusha mbali sana wimbo wa mdogo wangu sana Bwana Misosi.

Maana hata si mdogo wangu, mdogo wangu sana.

Kaka yake Bwana Misosi alikuwa rafiki yake na mdogo wangu.
unaonekana una akili sana. basi sawa mimi nikutakie kila la kheri baada ya kuwasilisha maono hayo, sina cha kuongeza zaidi
 
Mapepo unayasingizia tu, ubaya unao wewe kuandika uzi wa fitna mpaka rafiki yangu min -me anaanza kunikana kwa hoja za kufikirika 😂😂😂

Umenikumbusha mbali sana wimbo wa mdogo wangu sana Bwana Misosi.

Maana hata si mdogo wangu, mdogo wangu sana.

Kaka yake Bwana Misosi alikuwa rafiki yake na mdogo wangu.
Hahaha ukiokoka lazima ututhibitishie mkuu😅
 
Mkuu,

Mimi kwetu kanisani on both sides.

Baba yake na bibi yangu kajenga Azania Front wamemaliza kujenga mwaka 1903. Hapo German East Africa hata Muingereza hajafika bado. Hapo Dar es salaam nzima watu kama 10,000 tu.

Nimekaa kanisani mpaka nimepigwa na radi na Mchungaji Bundi hapo Azania Front mwaka 1979.

Kwa hivyo ukienda kwetu pande zote ni kanisani, nimeanza kuombewa tangu sijazaliwa.

Hawa waliolijua kanisa juzi hawanitiahi 😂😂😂
Good, huyu sasa ndio Kiranga
 
Yale yalikuwa mambo ya utoto tu.

Nashangaa watu wanayang'ang'ania mpaka ukubwani.
Nakumbuka pia mimi nilishawahi kuokoka 😅 , ushawishi ulianza baada ya kusoma kitabu fulani kina itwa kweli mbingu ipo ,cha mama mmoja wa kikorea anaitwa choo nami Thomas, na zile sinena za mikanda ya yesu ,kuna filamu moja ilinivuta sana kuokoka kipindi hicho😅😅
 
Mkuu,

Mimi kwetu kanisani on both sides.

Baba yake na bibi yangu kajenga Azania Front wamemaliza kujenga mwaka 1903. Hapo German East Africa hata Muingereza hajafika bado. Hapo Dar es salaam nzima watu kama 10,000 tu.

Nimekaa kanisani mpaka nimepigwa na radi na Mchungaji Bundi hapo Azania Front mwaka 1979.

Kwa hivyo ukienda kwetu pande zote ni kanisani, nimeanza kuombewa tangu sijazaliwa.

Hawa waliolijua kanisa juzi hawanitiahi 😂😂😂
Hii ni Kali!
 
Back
Top Bottom